Walimu sio....
Zamani hii kada iliheshimika sana... siku hizi mtu anashindwa kujitambulisha yeye ni mwalimu....wanadharaulika
Ni kweli kulikuwa na huyo mmoja anakuja shule kalewa sasa na jua likiwaka ndo kabisa inamchanganya anasimamia wanafunzi kula na kuwazaba vibao viziiitooohWalimu sio....
Zamani hii kada iliheshimika sana... siku hizi mtu anashindwa kujitambulisha yeye ni mwalimu....wanadharaulika
Daaahh.Walimu sio....
Zamani hii kada iliheshimika sana... siku hizi mtu anashindwa kujitambulisha yeye ni mwalimu....wanadharaulika
Wawapumzishe !
WaulizeSamahani naomba kuwauliza,hivi mshahara wa watumishi wa umma umetoka?
Maana kuna walimu nawaona hapa bar ya jirani na kwangu wanapombeka sio poa.