Kuna walimu naona wanapiga vyombo sana hapa bar,vipi mambo tayari?

Kuna walimu naona wanapiga vyombo sana hapa bar,vipi mambo tayari?

UKiwaheshimu/kuwadharau inawaongezea au kuwapunguzia chochote,tatizo umekulia Nanjilinji ambako mtu mwenye cheo kikubwa ni mwalimu,kwa walio kulia mjini kwenye mapedeshee na Madamushee wengi Wala hawajui uwepo wa mtu wa kuitwa mwalimu
Walimu sio....

Zamani hii kada iliheshimika sana... siku hizi mtu anashindwa kujitambulisha yeye ni mwalimu....wanadharaulika
 
Walimu sio....

Zamani hii kada iliheshimika sana... siku hizi mtu anashindwa kujitambulisha yeye ni mwalimu....wanadharaulika
Ni kweli kulikuwa na huyo mmoja anakuja shule kalewa sasa na jua likiwaka ndo kabisa inamchanganya anasimamia wanafunzi kula na kuwazaba vibao viziiitoooh
 
Walimu sio....

Zamani hii kada iliheshimika sana... siku hizi mtu anashindwa kujitambulisha yeye ni mwalimu....wanadharaulika
Daaahh.

Nikikumbuka jinsi tulivyokuwa tuwaheshimu na kuwaona watu special pamoja na familia zao.

Ila kwa sasa tunawaona ni choka mbaya hatari.
 
Back
Top Bottom