44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Nitajie cku nije nkukague nijue Kama kweli nakuzd.najua, najua sina we umenizidi chura
NB: cku hyo constructive interfearance itaruhusiwa,are you ready ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie cku nije nkukague nijue Kama kweli nakuzd.najua, najua sina we umenizidi chura
Sawa, wasalimie huko Mbeya.Ndiyo,huwa nabadilisha mkuu
Mrembo Mambo ?Kwamba walikushobokea Afu ni dume la mbegu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]!
Pole sana
Vibaka wapo mpaka IKULU.ID za wahuni utazijua tu,,,jf kuna vibaka humu[emoji2442][emoji2442]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wawekubaka Mara ngap mkuu ??Vibaka wapo mpaka IKULU.
Washakubaka Mara ngap mkuu ??Vibaka wapo mpaka IKULU.
Mie nimeacha jana we utaacha lini.Washakubaka Mara ngap mkuu ??
NakushauriMhhh! ni masikitiko makubwa sana kwa wanajamvi tena mwanaume na akili zako timamu unakaa kuvizia ID mpya yenye kajina ambako unafikiri atakuwa msichana.
Huo ni ulimbukeni na mwachage hiyo tabia kabisa nyie ndio mnao fanya watu waone JF ni kama badoo kuja na kuja mnataka muombe tunda.
Kuna jinga moja hivi aisee achaga hizo huku sio Facebook kuombana friend request in short mimi ni dume la mbegu na nimekuja kusumbua so tulia kijana hili ni jina tu.
Wala sio mpya humu tu ni maswahibu yalionikuta ya kusahau kipassword cha akaunti yangu.
Mimi najua sio mwandishi mzuri
Naishi Milele
Una kasorohapana Mkuu, wanaume hatuambianagi Mambo na pia toka nimejiunga JF 2017 huwa sichati na wana DM yani nikimtafuta mtu naenda straight naeleza shida yangu
Be multipurposMie nimeacha jana we utaacha lini.
Sidhani kama kuna haja ya kubishana sana,nafikiri we utakuwa wifi yake mange kimambi.....ukimya ni jibu la mjinga.Be multipurpos