Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

Sio JF tu....nadhani maisha yanabadilika kwa kasi...

Wanaume wamekuwa wa hovyo kabisa....hata Whatsapp siku hizi mwanaume anakutext kisha anakuambia nilikuwa nakusalimia...

Enzi zetu tunapiga simu ukiwa na jambo la muhimu. Mwanaume hauwezi ukanitumia text kisha unaniambia tu kirahisi nilikuwa nakusalimia.
Na salamu inajulikana. Ni shikamoo, mambo yanaishia hapo
 
Back
Top Bottom