Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

Ili liitwe jembe lichomekwe mpini,
Kuna madume utakuta yanajitapa Mimi jembe bwana,
Au utakuta jamaa linasifiwa yule jamaa jembe Sana na lenyewe linachekaaaaa,
Shabhash!
Ili liitwe jembe lazima lichomekwe mpini eeehee wewe umechomekwa?

Aaaah samahani nje ya mada

Alilosema mtoa mada ni kweli hayo ni mambo ya ovyo Sana ndugu zanguni!

Tubadilike!
 
Vipi wewe umechomekwa mpini?
 
huyo atakua alisoma kwa haraka tu,yupo Kwa wazungu huko huyo jamaa ni mbeba box,mwanangu wa ma yutong
Dah!

Nilielewa ila nikajiweka kwenye viatu vya hiyo njemba iliyokuibukia. Pengine ilidhani hayo ma misfortune yako ni code fulani tu ya Miss Fortune umeamua kuichanganya ili kuepusha usumbufu so ikaamua kujaribu bahati. Wanaume sisi we acha tu. Sometimes we push doors that are clearly written "pull"...
 
na mimi nilijua tu unazingua mkuu,yule jamaa ingekuwa tuna uwezo wa kukutana basi ningemtandika makofi mazito sana
 
Inaonekana hujui kusoma mzee vipi, nakushauri ujaribu kusoma tena au nenda Memkwa wakusaidie elimu
Huwa sina kawaida ya kubishana na watu wenye stress za maisha, hivyo nimekupuuza.

NB:Labda nikupe sababu iliyofanya baadhi ya members wa kiume kukuvamia(kama ulivyosema hapo juu kwenye heading), umekaa kikike sana. Usipokuwa makini watakula kimasihara.
 
Hujielewi kabisa unajua maana ya kupuuza? usingejibu ila hapa unaonekana ni choko
 
Back
Top Bottom