Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

Mhhh! ni masikitiko makubwa sana kwa wanajamvi tena mwanaume na akili zako timamu unakaa kuvizia id mpya yenye kajina ambako unafikiri atakuwa msichana

Huo ni ulimbukeni na mwachage hiyo tabia kabisa nyie ndio mnao fanya watu waone Jf ni kama badoo kuja na kuja mnataka muombe tunda

kuna jinga moja hivi aisee achaga hizo huku sio facebook kuombana friend request in short mimi ni dume la mbegu na nimekuja kusumbua so tulia kijana hili ni jina tu.
Wala sio mpya humu tu ni maswahibu yalionikuta ya kusahau kipassword cha akaunti yangu

Mimi najua sio mwandishi mzuri

Naishi Milele
Transgender initiatives in the move
 
Hujielewi kabisa unajua maana ya kupuuza? usingejibu ila hapa unaonekana ni choko
Choko nitakuwa mimi, au wewe unalialia kuwa wanaume wanakuvamia??

Sasa ulete usister-duh kwenye uandishi kama hivyo, halafu ushangae watu kukuomba pulu?

Kikubwa usiache kuleta mrejesho tu.
 
Back
Top Bottom