Tungo tata hii.. unataka kwenda kutengeneza nywele au kufungua saluni yako?Ndo mko na pesa babu.
Naomba hela ya saluni babu
Mara nyingi debe Tupu haliachi Kutika![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]kabisa ndicho nilichomaanisha wanaume wenye pesa JF wana sifaaa ya upolee hawana maneno na blah blah kama kina Demiss alafu utawakuta kwenye madaa za msingi tu
Hubby mjukuu akikwambia neno ni busara kumjibuTungo tata hii.. unataka kwenda kutengeneza nywele au kufungua saluni yako?
Bossy Lady...Hata mm ninayo mengi ndo maana nimeanzisha uzii
Hahaha nimemkumbuka mwalimu wangu wa Mathematics kiatu chake kilikuwa kimeisha upande kwa sababu ya umbali aliokuwa anatembeaNdio hao wa "Bill Gates kanipigia simu ananiomba anilipe kidogo kidogo deni nimemkatalia nimemwambia anipe zote".
Huku miguu imejaa vumbi, kiatu kimepinda upande mmoja.
Halafu huyo ukute formula zote za kutafuta hela na kupata compound interest nzuri anazijua.Hahaha nimemkumbuka mwalimu wangu wa Mathematics kiatu chake kilikuwa kimeisha upande kwa sababu ya umbali aliokuwa anatembea
Dhambi hii sasa...Hahahaha nataka nikunyime Tamu
Halafu wifi next weekend ntakua Dom
Habr yako ChiefPunguzeni kudanga hadi jf khah![emoji23] [emoji23]
Haàhaaaaa Kamatia fursa mamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Happy una akili sana
Hahahaha mm najua wewe una madorali ya kutoshaaa"Aroo, yeyote anayedai ana hela naagiza haraka sana Tii Ara Ei imchunguze kama kanilipa kodi zangu. Haiwezekani watu watambe wana hela halafu serikali haikusanyi kodi. Watapata tabu saana"
Tatizo la hela, kila unavyopata ndivyo unavyotaka zaidi.Hahahaha mm najua wewe una madorali ya kutoshaaa