Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]kabisa ndicho nilichomaanisha wanaume wenye pesa JF wana sifaaa ya upolee hawana maneno na blah blah kama kina Demiss alafu utawakuta kwenye madaa za msingi tu
Mara nyingi debe Tupu haliachi Kutika!
Sidhani kama umesema watu wanaochangia au simply kuwa member ni kukosa pesa.
Misifa mingii alafu empty set ndivyo inavyokuwaga lakini.
 
Ndio hao wa "Bill Gates kanipigia simu ananiomba anilipe kidogo kidogo deni nimemkatalia nimemwambia anipe zote".

Huku miguu imejaa vumbi, kiatu kimepinda upande mmoja.
Hahaha nimemkumbuka mwalimu wangu wa Mathematics kiatu chake kilikuwa kimeisha upande kwa sababu ya umbali aliokuwa anatembea
 
"Aroo, yeyote anayedai ana hela naagiza haraka sana Tii Ara Ei imchunguze kama kanilipa kodi zangu. Haiwezekani watu watambe wana hela halafu serikali haikusanyi kodi. Watapata tabu saana"
Hahahaha mm najua wewe una madorali ya kutoshaaa
 
Mara nyingi debe Tupu haliachi Kutika!
Sidhani kama umesema watu wanaochangia au simply kuwa member ni kukosa pesa.
Misifa mingii alafu empty set ndivyo inavyokuwaga lakini.
Ewaaaaah ndo ninachomaanisha
 
Back
Top Bottom