Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Watu wenye mkwanja JF beleive me hua hawacoment jf hata kidogo. Hao ndio hutoa ajira kwa watu humu, hakuna aliyewahi kuajiriwa na Member maarufu ila ndio pia wanaongoza Kuwala mademu wa Jf
Kweli kabisa watu wakimyaa wana mikwanjaa sana alafu hawana maringo wapo PM huko ndo wanakoishii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…