Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Huwezi kuanzia kwa mentor bwana [emoji23][emoji23]Hahaha,nashukuru kwa kunipa mbinu,na zoezi hili nategemea kulianzia pm kwako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuanzia kwa mentor bwana [emoji23][emoji23]Hahaha,nashukuru kwa kunipa mbinu,na zoezi hili nategemea kulianzia pm kwako!
Kweli kabisa watu wakimyaa wana mikwanjaa sana alafu hawana maringo wapo PM huko ndo wanakoishiiWatu wenye mkwanja JF beleive me hua hawacoment jf hata kidogo. Hao ndio hutoa ajira kwa watu humu, hakuna aliyewahi kuajiriwa na Member maarufu ila ndio pia wanaongoza Kuwala mademu wa Jf
Kwahiyo mentor hupendi hela za soda zijaribiwe kwako?Huwezi kuanzia kwa mentor bwana [emoji23][emoji23]
Jaribu basi kuanzia leoKwahiyo mentor hupendi hela za soda zijaribiwe kwako?
Twende zetu tukaoge maji ya chumviTuna gundu kweli.
Morena ya wapi wifi lakini?? Ntamwambia shoga angu Shabby unataka kumfukuzia watejaMorena Hotel
Coco au wapi twende?Twende zetu tukaoge maji ya chumvi
ngoja tupate tabu hadi tuyapate hayo madorali kwakweli.Sanaaaa kabisaaaa huuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeh. Sio kama hawa cockroaches wana midomo wambea wapashkuna na hela hawana. Kwanza Mungu mwanaume akishakua mmbea mmbea hampagi hela.Kabisaaaaaa na akipendezwa na kitu anakufata Pm