Kuna wanaume mnadanganywa kujali mwanamke ni kumsaidia kupika ama kufua. Niwasihi kwamba hayo sio majukumu yenu ni uboya

Kuna dem mmoja boya sana, kuna siku nilimlqza njaa kwa ujifanya anataka kunitest.

Alisafiri kutoka mkoa jirani, safari ya kama masaa3, akafika mida ya saa 12 jioni mm sikuwepo na siujua kama amekuja. Narudi mida ya saa 2 usiku namkuta, hata hajapika na vitu vyote vipo ndani. Mm sikumuuliza kama amekula au la maana mwanamke ukifika kwa mtu wako sharti upike unless hakuna cha kuika.

Nilipofika nikawa napigisha stori tu wala simuulizi kuhusu kula maana mm nishabunya. Mara saa3 hio sioni mtu akijishughurisha na kupika, nikasema ookey, nikaingia bafuni nikaoga, ile natoka bafuni ndio anaanza ku complain. Umerudi hujaniuliza kama nimekula au la na blaa blaa kibao. Mara ooh kanichukulie chips basi, nikampa hela akachukue mwenyewe akakataa.

Nikavuta shuka nikauchapa, nae akaja kulala nikasema ook. Akalala njaa. Sipendi ujinga mm. Yaani nipeke na mwanamke yupo, noooo
 
Duuuh.! Kiboko
 
Mnafanya mambo kuwa magumu aisee
Mimi napenda kuwa na mwenzangu jikoni hata kma hapiki bas tupige story aonje onje 😍
 
Mnafanya mambo kuwa magumu aisee
Mimi napenda kuwa na mwenzangu jikoni hata kma hapiki bas tupige story aonje onje [emoji7]
Hata unishikie risasi, hayo mavitu sifanyi. Ukitaka njoo uwe na mimi tuweke mishahara yawote mezani huku tukiipangia bajeti ya nyumba pasu kwa padu bila kusikia kuwa hayo ni majukumu ya mwanaume.
 
Watu wa ukanda wa Pwani wanaishi hivyo hata tu nyanya twa mia ,nilikuwa na jirani yangu utasikia mama nifa njoo upokee umekaa tu kabeba nyanya za mia 2
 
Bora umeliona hata wewe, unakuta mjeuri na hata shughuli nyingine zero ila anavyo tamba na kufoka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wa ukanda wa Pwani wanaishi hivyo hata tu nyanya twa mia ,nilikuwa na jirani yangu utasikia mama nifa njoo upokee umekaa tu kabeba nyanya za mia 2
Kanda ziwa huwezi Kuta wife akijifungua I'ma aje mdogo wake,mamake,wifi yake au aende kwao akajifungulie huko sio kuanza kufua Wala kumpikia [emoji23]
 
Acha kurahisisha mambo mkuu kwani mkeo hawezi hemea hayo mahitaji ya wiki3 Mwanaume kabisa unainama kufua nguo za mkeo na watoto halafu mke wako yupo anaangalia Azam burudani kwa wote ? Sasa Si ukaolewa tu ijulikane wewe ni papai! Hakuna Cha mtazamo Y haiwez kuwa X na X Kuwa Y Hadi kiyama
 
Upo sawa sana 100%. Kufanya majukumu ya mwanamke nikujishush samahani na kuikosea jamii Watoto wanakuwa hawajui kazi na majukumu maalumu ya mwanaume.mwanaume unaechukua kapu uanenda hemea matembele daily wewe upo sokoni mara ufue mkeo kapaka Hina kucha ndefu kama nungunungu halafu kabisa ujiite mwanaume!!

Bro Hawa wanaume wa sampuli hii ndo wanaounga mkono haki sawa Kwa wote Hali wakijua kabisa mwanaume hawezi lingana na mwanamke hata siku Moja. Ni utahila wa Hali ya juu
 
Nitamsaidia mwanamke akiwa mjamzito au mgonjwa na hakuna mfanyakazi
 
True stori sijaongeza Wala kupunguza..Miaka michache nyuma nili limwa ban job kisa ujuaji,anyway sikumwambia yule mwehu maana siunajua tena Wanaume tunahiyo kasumba,nikawa natoka ghto monie naenda kitaa nashinda narudi jioni nkirudi narudi nafurushi manzi ajue Bado Niko job.Miezi minne nafanya hivyo akiba ikakata,ikabidi nimchane,akasema Haina shida atanivumilia nitapata kazi nyingine,nikawa nabaki home napika nafua,naosha vyombo akirudi anakuta nyumba safi,kigae kinang'aa akijitazama anajiona na komwe lake,siku ya kwanza kashangaa na kuonyesha furaha ila siku zilivyozidi akaanza mazonge mara akirudi anarudia kuosha vyombo,na anarudia kudek.Siku nliyochoka nilipokea sms ya mama mkwe
"Acha kuingilia majukumu ya mwenzio"
N.B nilishapiga chini.
 
Hata unishikie risasi, hayo mavitu sifanyi. Ukitaka njoo uwe na mimi tuweke mishahara yawote mezani huku tukiipangia bajeti ya nyumba pasu kwa padu bila kusikia kuwa hayo ni majukumu ya mwanaume.
Mdogowangu usifanye mambo kuwa magumu alafu ukifanya kilakitu kuwa ni ishu kubwa utapata tabu San
Kunawakat mwenzio ataumwa ujue
 
Dah nashukuru jamaa umefuatisha ushauri wa humprey polepole wa kuongea ukweli hata kama unatetemeka
 
Vijana wa siku hizi wabishi sana usishangae wakaja hapa kukupopoa, ati wanasema hayakuhusu.
 
Mwanamke anapenda kupelekeshwa, kuongozwa na kutawaliwa pia anapenda amri amri tuu sometime na uromantic kidogo sana. Japo mdomoni atakuambia hapendi hayo.

Mwanaume ukiwa tofauti na hapo ataambia wanawake wenzake "mwanaume wake hajielewi"

Sasa nyie acheni majukumu yenu danganyweni na movie za love story na hizi dini za wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…