uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea.
Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana lakini kuna makujumu ya mwanaume unayohitaji kuyafanya bila msaada wa mwanamke na kuna majukumu ya mwanamke nayobidi ayafanye yeye bila wewe kuingilia wala kumsaidia, usije kukubali kufanya majukumu ya mwanamke kwa kudanganywa kuwa ni kujali.
Nashangaa sana nakuta siku hizi mwanaume anaji proud kabisa kuwa jumanne na jumapili ni siku yake ya kuandaa chakula, Like what the hell is this shit !!
Mwanaume hakikisha mwanamke unaemuoa anaweza kukufulia nguo zako, anaweza kukupikia, n.k. ni majukumu halali kabisa ya mwanamke ndani ya mahusiano, kujitia unamjali kumsaidia majukumu ya mwanamke ni uboya, hata uwe na pesa vipi usije kunasa huu mtego, ni sawa na kuwa na pesa hutaki watoto wafanye kazi za nyumbani, mwishowe wanakuwa watu wazima hawajui hata kujitandikia vitanda.
Tusipangiane, kila mtu anajua namna ya kumweka mke wake sawa, hakuna standard formula, kama mke akizidiwa na kazi ninaweza hata badili mtoto pampas.
Kwani ni majukumu ya mke kutoa hela nyumbani? Mbona mnalazimisha mpewe salary slip? Kila mtu aangalie namna nyepesi ya amani kwake.