Kuna wanaume mnadanganywa kujali mwanamke ni kumsaidia kupika ama kufua. Niwasihi kwamba hayo sio majukumu yenu ni uboya



Tusipangiane, kila mtu anajua namna ya kumweka mke wake sawa, hakuna standard formula, kama mke akizidiwa na kazi ninaweza hata badili mtoto pampas.

Kwani ni majukumu ya mke kutoa hela nyumbani? Mbona mnalazimisha mpewe salary slip? Kila mtu aangalie namna nyepesi ya amani kwake.
 
Mama mkwe alikuwa sahihi kabisa,

ukipoteza kazi usidhani kwamba utamfurahisha ama kum neutralize mwanamke kwa kuingilia majukumu yake, muda huo ilibidi uendelee kupambana huko nje kutafuta hata vibarua.
 
Mdogowangu usifanye mambo kuwa magumu alafu ukifanya kilakitu kuwa ni ishu kubwa utapata tabu San
Kunawakat mwenzio ataumwa ujue
[emoji23][emoji23] sio ishu kubwa ila kamwe sitaingilia majukumu yasiyo yangu kamwe. Iwe ya mke au ya mzazi maana yalishanikuta, hivyo akishindwa kutimiza majukumu yake basi hatuwezani kila mtu anashika njia yake. Usinihofie mimi dada mkubwa, [emoji23][emoji23][emoji23] ulimwengu ulinifunza sinahamu tena. Stay in your lane!
 

uko sawa
 

Uko sawa, mimi binafisi siwez fanya hivyo
 
Kiujumla, ndoa ni upumbavu wa hali ya juu sana. KATAA NDOA.
 
Kufua nunua mashine ili uepukans na kesi
 

Huna lolote zaidi ya uhafidhina,uprimitivu na ushamba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…