Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Acha tuuuuu ,,nimeelewa ivo ,,, kuna MTU ndio yupo nyuma ya hiii kitu ,,, wala hainisumbui sanaaaa .kwasababu Putin atabaki kua Putin ,, namima atabaki ivo ,nakapeace atabaki kua Kapeace !!Kuna mjinga anakuoneeni wivu
Sio fair kinachoendelea humu kuna ubaguzi mbovu kabisa wengine fresh wanaachiwa wengine sasa ni ban na uzi kufutwa aiseeee
We nenda tu maana ukifura nakujua mi wakinipa ban unajua pa kunipatiaNaelewa shareholder ,,umeumia sana kipenzi ,, nmeumia pia ,,ila nmejitahid sana Nisitukane maana nilitaka nitukune kupitiliza ...
Mima Wangu ,,naww tutakutana Nje ya humu !!!.
Aaahhhhh liache tu lipite Mima Wangu ,, hilo halibadili chochote .walimwengu sio watu wazuri hata kidogo kapeace
Mimi ndo kabisa km wananimendea wamechemka adhabu wanipe watakavyoAcha tuuuuu ,,nimeelewa ivo ,,, kuna MTU ndio yupo nyuma ya hiii kitu ,,, wala hainisumbui sanaaaa .kwasababu Putin atabaki kua Putin ,, namima atabaki ivo ,nakapeace atabaki kua Kapeace !!
ha ha ha ha nimechekajeeeeeee vibamia unyafuzi nimelisave hili mtu asinichokozeNimewaona humu viroho vilivyowasinyaa km vibamia unyafuzi
Haina shida sweet, wewe namima ndo watu pekee humu niwezao kuwakupigia kwa siku Mara tatu ...kama dozi ya panadol.We nenda tu maana ukifura nakujua mi wakinipa ban unajua pa kunipatia
Nashangaaaa sana kapeace ,,, wakato hapa nistor kula kwenu !!!.Mimi ndo kabisa km wananimendea wamechemka adhabu wanipe watakavyo
Hapa story tu kula kwenu
miaka 80000000Acha tuuuuu ,,nimeelewa ivo ,,, kuna MTU ndio yupo nyuma ya hiii kitu ,,, wala hainisumbui sanaaaa .kwasababu Putin atabaki kua Putin ,, namima atabaki ivo ,nakapeace atabaki kua Kapeace !!
Yaaahhh ,nmeshindwa hata kuielezea kitu yaleo !!!Nimewaona humu viroho vilivyowasinyaa km vibamia unyafuzi
Yaani natamani nimpate huyo aliyefanya Huu ukatiliNashangaaaa sana kapeace ,,, wakato hapa nistor kula kwenu !!!.
Lkn watu walivyoshupalia mweeee ,, mpaka nikasema Walitaka nani Azungumzwe ?????. Labda ndio watamkubali nakuona anawastahili hahahahah
Vibamia unyafuzi ,,,hivi kikwet huwa nilaana mafigan.ha ha ha ha nimechekajeeeeeee vibamia unyafuzi nimelisave hili mtu asinichokoze
Vibamia unyafuzi si unavijua hahahahahah hata kuungia mboga havifai vimejaa viduduha ha ha ha nimechekajeeeeeee vibamia unyafuzi nimelisave hili mtu asinichokoze
Hats Mimi naamini ivo ,, mwanamke ndio yupo nyuma yahii kitu yakipuuzi !!..Yaani natamani nimpate huyo aliyefanya Huu ukatili
Ila kuna wachangiaji wazandiki humu tena ni wadada wanawashwa washwa sana kuna siku nitawanyea mpk wajute sipendagi unafiki mimi
Wasituone tunacheka na kujimwayamwaya utafikiri kuna mtu aliitwa humuYaaahhh ,nmeshindwa hata kuielezea kitu yaleo !!!
Uzi uliandikwa haujakiuka sheria ,, Uzi wakawaida sanaaaa...moment zakawaida sana.
Ila sababu kuna MTU anaaminika basi ni " embu niondolee koment ktk Uzi Fulani " ..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena iyo yote yann mpenzi ...Mimi kila siku naomba nidumu nawewe kwa miaka 115 tuuu. Inatoshamiaka 80000000
Wadombwe wengine akatike yeye hahahahahah mima naomba unikomeshee vishanshuda vya humuHats Mimi naamini ivo ,, mwanamke ndio yupo nyuma yahii kitu yakipuuzi !!..
Haahaaaa nahilo ndo swali kubwa kati yangu ,,wew na Mima !!.Wasituone tunacheka na kujimwayamwaya utafikiri kuna mtu aliitwa humu
ha ha ha ha ha nachekaje peke yangu sasa kama chizi utanivunja mbavuuu zangu dadeqVibamia unyafuzi si unavijua hahahahahah hata kuungia mboga havifai vimejaa vidudu
Hapo ndo penyewe aiseeee !!.sema nn ,,, hamna siku nilichokia kama Leo ,, lkn ndio siku nilopoa zaidi .Wadombwe wengine akatike yeye hahahahahah mima naomba unikomeshee vishanshuda vya humu
Upo salama relaxHaahaaaa nahilo ndo swali kubwa kati yangu ,,wew na Mima !!.
Sijui wanahisi labda Mima au kapeace au Putin tulikua tunataka Koment zao ????? . duuuhhhh.
Nawapenda wake zangu ,mpendane ivo ivo