Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Kwan unadhan niubaguzi ????? Huu ni Wivu tuuu kapeace hamna kingine !!!.
Na ubaguzi kwani hatuoni wengine wanavyobebishana humu tena unakuta ni bwana na wake zake na wanaoitana kaka Dada Shemeji wifi yaani ukoo mzima wanaonyesha mahaba yao mubashara sasa wengi humu ni ma fa fa fa ya mapenzi yamejaa wivu wivu tu
 
Namm nawaonaga tuuuu nawatizama Mara kaka ..mama dadaaa sijui shemeji kumbe hamna kituuuuu7uuuuuuu wangonokaji wakubwa tuuuuuu.

Leo vimoyo vimeuma kisa kilichoandikwa kwao wamekua wanakisikia tuuu.
 
Hii Kali nakwambia page 50 zikalimwa [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Maajabu kweli kweli kapeace ...

Alafu eti sababu wanajua wamefanya unaaaa wanajifanya kurekebisha nauzi Wa Mima ,,as if kama kunamaneno kayaweka kimakosa....

Ungese kweli yani.
 
Jamani vumbi la Congo ni nini? Nataka nitumie na mimi nisifiwe kama jombaaa,msugua papuchi.
 
Hivyo hukutaka kingine kwake we ulipojua tu ni sukari ya warembo basi ukamtunuku.

Ila na sisi wanawake tuna vituko yaani sukari uilambe wewe, sifa utuletee sisi mbona kama haiusiani.

Au ndio unajipiga promo.
Dada kumbe na ww mchokozi 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…