Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Uzi ulikuwa na page 58 zimefutwa zimebaki 9 hahahahahah mods mnatufukuza humu sio kwa unaa huu
Nmekumis baby !!! Leo ndo nmeshuhudia Unaa Wa watu kisa Putin kuandikwa !!.

Nawalivyo naunaaa ,, eti wanaondoa Koment ,,alafu Uzi unaachwa ,,..ninamna gani watu wanafikilia kwa kutumia makalio na Roho ya wivu nambaya !!!.
 
ac

achaaaa nashindwa hata kushangaaa
Pole sana Mima Wangu.

Nikakuandikia Uzi mzuri kukuhusu ,, nikawa nmeusave ,,kila Mara nikawa nauchungulia nakuongezea radha ,,,,, Heee walivyofuta koment hapa ,, haijapita muda nauzi wako wakaufutia huko huko on the spot !!.

Nmeshika tamaa ,,nikijiuliza ,,nani huyu yupo nyuma yahaya yote ???.
 
Nmekumis baby !!! Leo ndo nmeshuhudia Unaa Wa watu kisa Putin kuandikwa !!.

Nawalivyo naunaaa ,, eti wanaondoa Koment ,,alafu Uzi unaachwa ,,..ninamna gani watu wanafikilia kwa kutumia makalio na Roho ya wivu nambaya !!!.
Wachawi wengi humu wivu na upuuzi tu watu wana roho za kichawi wivu wivu tu

Wanawashwa washwa
 
Nmekumis baby !!! Leo ndo nmeshuhudia Unaa Wa watu kisa Putin kuandikwa !!.

Nawalivyo naunaaa ,, eti wanaondoa Koment ,,alafu Uzi unaachwa ,,..ninamna gani watu wanafikilia kwa kutumia makalio na Roho ya wivu nambaya !!!.[/QUOTE
Pole sana Mima Wangu.

Nikakuandikia Uzi mzuri kukuhusu ,, nikawa nmeusave ,,kila Mara nikawa nauchungulia nakuongezea radha ,,,,, Heee walivyofuta koment hapa ,, haijapita muda nauzi wako wakaufutia huko huko on the spot !!.

Nmeshika tamaa ,,nikijiuliza ,,nani huyu yupo nyuma yahaya yote ???.

acha tu baby fitna mbaya wivu donda la roho .............walimwengu wa baya sana .....kukuelezea putin wangu iwe kosa lakini ukweli utabaki pale pale
 
Wachawi wengi humu wivu na upuuzi tu watu wana roho za kichawi wivu wivu tu

Wanawashwa washwa
Naunafiki nauchawi kweli umejaa watu humu teheeee ,,manyuzi kibaoo hukooo hayafutwi ,,eti Leo Putin kuzungumzwa tuu imekua kero kapeace .

Sasa najiuliza ,,Putin afai kuzungumzwa ,???? Au mimj navyomwandikiaga Mima huwa naandikia Jini ???
 
Pole sana Mima Wangu.

Nikakuandikia Uzi mzuri kukuhusu ,, nikawa nmeusave ,,kila Mara nikawa nauchungulia nakuongezea radha ,,,,, Heee walivyofuta koment hapa ,, haijapita muda nauzi wako wakaufutia huko huko on the spot !!.

Nmeshika tamaa ,,nikijiuliza ,,nani huyu yupo nyuma yahaya yote ???.
Kuna mjinga anakuoneeni wivu

Sio fair kinachoendelea humu kuna ubaguzi mbovu kabisa wengine fresh wanaachiwa wengine sasa ni ban na uzi kufutwa aiseeee
 
Back
Top Bottom