Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] km wana mapafu ya punda km wewe jiandae kuibiwa lkn usiwe na wasiwasi mapafu ya punda hakuna ndo maana povu zito limewashuka humu
Aisee ww unasema mapafu ya punda je ss tuliojaliwa mapafu ya mbwa tusemeje jamen?...
 
Naamini hata sisi wenye pumzi za kuku tutapata wa kwetu wa kutumwagia sifa kemkem namna hii..
 
Hivyo hukutaka kingine kwake we ulipojua tu ni sukari ya warembo basi ukamtunuku.

Ila na sisi wanawake tuna vituko yaani sukari uilambe wewe, sifa utuletee sisi mbona kama haiusiani.

Au ndio unajipiga promo.
Kula like
 
A alaykum to all muslim na wale wenzentu wa imani tofauti na yangu tumsifu Yesu Kristo. Leo Jumapili tulivu nataka nitoe kijistori kidogo kinachohusu mahusiano yangu.

Nilianza mahusiano na mwanaume huyu september 12/2017 nakumbuka kitu kama hichi. Kiukweli mwanaume huyu alikuwa bora.

Basi mapenzi yaliendelea mpaka siku nikakutana nae titi fotati face to face he he heee. Huyu mwanaume ni shidaah kuanzia muonekano wake yani ni shida ni mwembamba, mweusi, mrefu kiasi ni muongeaji sana na mjuzi mno wa kubembeleza na kukufanya kujihisi mwanamke ukiwa nae.

Sasa balaa linakuja kwenye mambo yetu yale. Mwanaume anamichezo huyu sijapata kuiona tangu nizaliwe na kwenye game ukimuendekeza na kumuachia k anaweza kufanya mapenzi na wewe usiku kucha.

Chukua sifa zako kokote ulipo unadeserve kuwa mwanaume wa mwanamke yeyote aliyokamilika. Kiukweli ni mwanaume ambae alinifanya nifurahie mahusiano na kiukweli sijutii kuwa nae.

Sasa huyu kwangu mimi namuita mwanaume mashine all in all yote i like the way unavyonishauri mambo mema na yenye manufaa kwangu japo unatumia njia ambazo hata mimi zinanifanya nishindwe kukuelewa but thanks so much kwa hilo.

Thanks muwe na asubuhi tulivu
Kwamtindo huu UKIMWI hautokwisha mlikumbuka kondoms.
 
Umekosa mada ya kuleta hapa wewe, nani kakuambia utamua wa mapenzi au n g o no ni kuchoshana usiku mzima? acha ushamba huyo jamaa yako wala hajui kukugegeda labda useme kwamba unapenda kutiwa tu muda wote ila sio kwa kuridhika
 
Kinachonimaliza zaidi ,,hawa watoto wanaunga mbogaaa jaman ,chaaaa yan mboga inaungwa mpaka unaanza shiba bila hata kula.

Na ndani kunavyonukia masham masham ,,sijui huwa anapuliza namavitu gan ??.
wacha we....wanafukiza udi.....kuunga mboga iyo tisa mkuu....maji ya kuoga ndo funga kazi....yani maji yana iliki..mdalasini..unaoga maji yenye hadhi ya chai ya hotel ya nyota tatu
 
Sisi ndy wanaume tunaokwambiya...umekutana na CHA CONGO....kama huamini FANYA SEARCH BEFORE sex kama hujamfuma na KICHUPA cha Mpako .....wapo vijana wengine huwa WANAPAKA KABISA mpako wa CONGO kwenye DUSHE kama mafuta ya kawaida atokapo nyumbani....ili hata ikatokea kakutana na msichana mtaani anakuwa tayari ANAO MPAKO wa CONGO...
Duuuuu mbona hizo ni adhabu mkuu
 
Back
Top Bottom