Kuna wanaume wanachezea bahati sana

Inawezekana ilikuwa hivyo,lakini bado alikuwa na nafasi kubwa sana ya kuboresha maisha yake kwa sababu fedha alikuwa nayo,kibaya sasa hivi ukisikiliza maelezo jamaa naye maisha yamemchapa
 
Chakujifunza hapa, wanaume tusiache kupita barabara ya lami na kuchepukia barabara zenye makorongo kwa sababu ni fupi;utaua gari, matengenezo na spea ni gharama pia.
 
Bado Dada yngu ujanielewa au utaki kunielewa huyo mwanaume kweli anaweza kuwa mshenzi km unavyotaka tuamini ila jambo lolote ni vzuri kusikiliza pande zote mbili ndio tupate jibu sahihi...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado Dada yngu ujanielewa au utaki kunielewa huyo mwanaume kweli anaweza kuwa mshenzi km unavyotaka tuamini ila jambo lolote ni vzuri kusikiliza pande zote mbili ndio tupate jibu sahihi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali pande zote , kikubwa tu tunajifunza kupitia makosa ,

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Ingekuwa hapa kwetu, Wananzengo wangeshaleta ushuhuda wa Mlalamikiwaji. Nyie wazee wa Nzige, mnafeli wapi? Hebu njooni mmalize hili jambo
 
Hii mada imenikumbusha mbali sana na mrembo wangu wa canada ..daima ntamkumbuka
 
mkuu ogopa sanaa wanawake wanataasisi zinawatetea sanaa. mwanaume anaona poa ngoja nikafie mbele. wanaume wanapenda sana watoto wao na familia kwa ujumla na ukiona hivyo hujue hali si shwari mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anachosema huyu mama ni cha kweli basi mumewe atakuwa amejitakia umasikini mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…