Kuna wanaume wanachezea bahati sana

Kuna wanaume wanachezea bahati sana

Hapo ujue kosa kubwa ambalo mwanaume mwenye akili timamu hawezi kulivumilia na kuamua kutelekeza familia ni kugundua anapigiwa, na wanawake wakishaanza huo mchezo nje ya ndoa ujisahau na kusnza dharau na hujutia baadae. Ndo yaliyomkuta huyo bi dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ilikuwa hivyo,lakini bado alikuwa na nafasi kubwa sana ya kuboresha maisha yake kwa sababu fedha alikuwa nayo,kibaya sasa hivi ukisikiliza maelezo jamaa naye maisha yamemchapa
 
Chakujifunza hapa, wanaume tusiache kupita barabara ya lami na kuchepukia barabara zenye makorongo kwa sababu ni fupi;utaua gari, matengenezo na spea ni gharama pia.
 
Bado Dada yngu ujanielewa au utaki kunielewa huyo mwanaume kweli anaweza kuwa mshenzi km unavyotaka tuamini ila jambo lolote ni vzuri kusikiliza pande zote mbili ndio tupate jibu sahihi...
Ila anaweza kuzaa nje na kutelekeza watt na kuzidi kuunda chain ya single mother's na ukija kujua ukweli wanawake wote aliwadanganya hana mke wala mtoto , ?
Kuna muda mnajitengenezea laana bhana msifanye hivyo dah

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado Dada yngu ujanielewa au utaki kunielewa huyo mwanaume kweli anaweza kuwa mshenzi km unavyotaka tuamini ila jambo lolote ni vzuri kusikiliza pande zote mbili ndio tupate jibu sahihi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali pande zote , kikubwa tu tunajifunza kupitia makosa ,

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Ingekuwa hapa kwetu, Wananzengo wangeshaleta ushuhuda wa Mlalamikiwaji. Nyie wazee wa Nzige, mnafeli wapi? Hebu njooni mmalize hili jambo
 
mkuu ogopa sanaa wanawake wanataasisi zinawatetea sanaa. mwanaume anaona poa ngoja nikafie mbele. wanaume wanapenda sana watoto wao na familia kwa ujumla na ukiona hivyo hujue hali si shwari mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anachosema huyu mama ni cha kweli basi mumewe atakuwa amejitakia umasikini mwenyewe
 
Back
Top Bottom