Weka hiyo video mzee
AiseView attachment 2570869
Binafsi nawaza haya;
1. Anawafundisha nini wanawake wenzie..! Kwamba ukiwa na hela huagi?
2. Anawafundisha nini watoto wake.?? Kama ana watoto wa kiume, nao wakioa wenye fedha wasiagwe? Au kama ni mtoto wa kike, naye asiwe anaaga kwake kisa ana financial freedom?
3. Mume wa huyu mama, huko kwa washikaji walioiona video hii, anajisikiaje?
USIKUTE, HATA HIZO HELA ZINAZOMFANYA ASIAGE? MUMEWE NDO KAMUWEZESHA
Shemela Evelyn Salt, Bantu Lady, Mideko, lovely love, Kapeace, binti kiziwi, Dejane, Kalpana, Lanlady, Lovelovie, Numbisa, Mamndenyi etc embu elezeni kama huyu mama yupo sawa au la..!!View attachment 2570869
Binafsi nawaza haya;
1. Anawafundisha nini wanawake wenzie..! Kwamba ukiwa na hela huagi?
2. Anawafundisha nini watoto wake.?? Kama ana watoto wa kiume, nao wakioa wenye fedha wasiagwe? Au kama ni mtoto wa kike, naye asiwe anaaga kwake kisa ana financial freedom?
3. Mume wa huyu mama, huko kwa washikaji walioiona video hii, anajisikiaje?
USIKUTE, HATA HIZO HELA ZINAZOMFANYA ASIAGE, MUMEWE NDO KAMUWEZESHA.
changu kama huyo hawezi kuwa na mume. anawadanganya walio ktk ndoa ili waharibikiwe kama yeyeNimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable
Imagine mke wako anajitapa ivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli apo
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app