Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
358
Reaction score
1,887
Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable.

Imagine mke wako anajitapa hivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli hapo.

Weka hiyo video mzee
Binafsi nawaza haya;
1. Anawafundisha nini wanawake wenzie..! Kwamba ukiwa na hela huagi?
2. Anawafundisha nini watoto wake.?? Kama ana watoto wa kiume, nao wakioa wenye fedha wasiagwe? Au kama ni mtoto wa kike, naye asiwe anaaga kwake kisa ana financial freedom?
3. Mume wa huyu mama, huko kwa washikaji walioiona video hii, anajisikiaje?

USIKUTE, HATA HIZO HELA ZINAZOMFANYA ASIAGE, MUMEWE NDO KAMUWEZESHA.
 
View attachment 2570869

USIKUTE, HATA HIZO HELA ZINAZOMFANYA ASIAGE? MUMEWE NDO KAMUWEZESHA
Aise
 
View attachment 2570869
Binafsi nawaza haya;
1. Anawafundisha nini wanawake wenzie..! Kwamba ukiwa na hela huagi?
2. Anawafundisha nini watoto wake.?? Kama ana watoto wa kiume, nao wakioa wenye fedha wasiagwe? Au kama ni mtoto wa kike, naye asiwe anaaga kwake kisa ana financial freedom?
3. Mume wa huyu mama, huko kwa washikaji walioiona video hii, anajisikiaje?

USIKUTE, HATA HIZO HELA ZINAZOMFANYA ASIAGE, MUMEWE NDO KAMUWEZESHA.
Shemela Evelyn Salt, Bantu Lady, Mideko, lovely love, Kapeace, binti kiziwi, Dejane, Kalpana, Lanlady, Lovelovie, Numbisa, Mamndenyi etc embu elezeni kama huyu mama yupo sawa au la..!!
 
Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable

Imagine mke wako anajitapa ivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli apo

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
changu kama huyo hawezi kuwa na mume. anawadanganya walio ktk ndoa ili waharibikiwe kama yeye
 
Back
Top Bottom