Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
you can say that again. Mwanamke mwenye staha zake hata awe na pesa kiasi gani hawezi kujitapa ujinga kama hivyo.Wanawake wa hivyo wengi ni wadangaji.
Trust me))
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you can say that again. Mwanamke mwenye staha zake hata awe na pesa kiasi gani hawezi kujitapa ujinga kama hivyo.Wanawake wa hivyo wengi ni wadangaji.
Trust me))
Kabisa hawa ndo wanao tembea na vija makazin mwaoWanawake wa hivyo wengi ni wadangaji.
Trust me))
When a women become successful, they stop being women and start acting like men…..and men don’t wanna date themselvesNimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable
Imagine mke wako anajitapa ivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli apo
Sahihi.you can say that again. Mwanamke mwenye staha zake hata awe na pesa kiasi gani hawezi kujitapa ujinga kama hivyo.
Alafu huyu jamaa 👉 Maxence Melo alikuwa anachekacheka hovyo kabisaNimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable
Imagine mke wako anajitapa ivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli apo
Huyo maza ni mpuuzi, mwanamke kuwa na hela haimpi sababu ya kutomuheshimu mumewe. Kuna wanawake wana hela lkn bado wanaheshimu waume zao sijajua kakwama wapi hadi kuongea alichokiongea.
Ndoa ipo ndio.Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable
Imagine mke wako anajitapa ivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli apo
Ni yeye ama? Kama una video shareYule mwanamke mpumbavu ni mke wa Nehemiah Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wa shirika la nyumba (NHC)
Sijui Mchechu anaishije na mwanamke asiye na heshima kwa mume kama yule. Kwa kauli ile kamdhalilisha sana mumewe
Video sina zipo kwenye mitandao. Hata hapa jf kuna uzi una ile videoNi yeye ama? Kama una video share