KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Maneno aliyotamka huo bibie ndio uhalisia wa ulimwengu wa Sasa....ndio mfumo ulioandaliwa ili kuuangusha uanamume Duniani....na huo mpango unaratibiwa na mashirika mbali mbali Duniani na fedha nyingi zinatumika kufanikisha Hilo Kwa kutumia NGOs mbali mbali......
Hizi ni nyakati ngumu sana kwa wanaume....ipo vita ya kimya kimya inayopiganwa ili kuondoa mfumo wa kiume Duniani.......
Mfumo huo unaanzia ngazi ya familia mpaka kwenye sheria za serikali......kila sehemu mwanaume amewekewa vikwazo na akisema ajitetee hata Kwa kuongea anaaambiwa anamkandamiza mwanamke.......
Matokeo yake Sasa hivi wanaume tumebakia wapweke hatuna pa kusema.....kisemeo chetu ni chupa za bia na pombe kali na kwenye mechi za ligi mbali mbali....huko ndiko ambako kidogo tunaweza walau kutabasamu.........
Kitu ambacho wanawake hawakijui ni kuwa hichi wanachokipigania ni ndio shimo lao la maangamizi.....muda utaongea....