Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable

Imagine mke wako anajitapa ivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli apo

Nina uhakika kwa sasa atakuwa anajuta kwa hizi kauli za hovyo....
 
View attachment 2570869
Binafsi nawaza haya;
1. Anawafundisha nini wanawake wenzie..! Kwamba ukiwa na hela huagi?
2. Anawafundisha nini watoto wake.?? Kama ana watoto wa kiume, nao wakioa wenye fedha wasiagwe? Au kama ni mtoto wa kike, naye asiwe anaaga kwake kisa ana financial freedom?
3. Mume wa huyu mama, huko kwa washikaji walioiona video hii, anajisikiaje?

USIKUTE, HATA HIZO HELA ZINAZOMFANYA ASIAGE, MUMEWE NDO KAMUWEZESHA.

Nina uhakika kwa sasa atakuwa anajuyia huo uropokaji
 
Shida mnajifanya mnaoa wanawake wazuri mturungishie washkaji haya sasa bebeni misalaba yenu
........ kwakweli inatugharimu soon tutaanza kuoa wabaya, ingawa huyo mwanamke huwezi sema ni mrembo kiasi cha kutamkia hayo maneno yake......so the problem here ni kwamba jeuri ya pesa kama alivyotanabaisha mwenyewe.......
 
Sijaona kosa kwenye hiyo kauli

Mfano
Mke ni mwalimu
Mme ni daktari

Asubuhi mke ataomba ruhusa ya kwenda kazini ?

Mkeo akitoa taarifa hii hata kwa meseji tu
"Sorry nitachelewa kurudi nyumbani nipo msibani"

Na mwingine akiandika
"Bachelor mme wangu naomba ruhusa Leo niende disco"

Nan yupo sahihi ?
 
Yule mwanamke mpumbavu ni mke wa Nehemiah Mchechu, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la nyumba (NHC) sasa Msajili wa Hazina

Sijui Mchechu anaishije na mwanamke asiye na heshima kwa mume kama yule. Kwa kauli ile kamdhalilisha sana mumewe
Lile pambio lenu la KATAA NDOA limesambaratishwa na massively atomic bomb, hadi sasa hivi timu KUBALI NDOA 3-0, nimekaa pale [emoji144][emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Si umesema katoa taarifa? Mbona tena unasema hajaaga? Au kuaga kwako ni kufanyaje?

Halafu uache umbea.
Kuna tofauti kati ya kuaga na kutoa taarifa. Kuaga kuna nafasi ya kuambiwa usiende..!! Kutoa taarifa ni amri kwamba liwalo na liwe lazima uende..!!

NB:
KUNA TOFAUTI KATI YA MKE MWEMA NA MWANAMKE MPAMBANAJI....!!! Huyu wa kupambana, huwa anapambana hadi na mumewe. Mke mwema huwa mtiifu wakati wote..!!

Sasa ukute mwanamke kama huyo (wa kupambana na mumewe) awe ana madaraka, ana hela na ana shule kubwa..!! Lazima patachimbika..!!

Na wanawake deiaini hii, ndo wanafanya jamii ione kuwa ukimpa mwanamke uwezo, lazima aote kiburi cha kutaka kupambana na yeyote yule, hata mahala panapohitaji busara ndogo tu, yeye atapambana.
 
Back
Top Bottom