Oa unae fanana nae,ukiishia sekondary ,na ukawa na kipato Cha laki Tano kwa mwezi,harsfu ukaoa msomi wa chuo kikuu,utakufa kwa kihoro!kwa wasomi sie,mwanamke kuwa na roho ya kujiamini kiasi hicho ndio safi,tunaikubali,sasa kama unataka mkeo awe kama kondoo,Binti zako watajifunza nini?,na wao wawe makondoo wakiolewa?mwanamke independent wa pesa kwenye familia ni muhimu sana,ukiona unashindwa kuishi na mwanamke msomi,basi wewe uanaume wako una mashaka.
Old skool men,Wanapenda kutumia amri tu,hawawezi kujenga hoja,wapo wanawake anaingia kwenye ndoa tayari ana pesa yake ndeefu,huyo lazima ujue akili ipo sana,huwezi kumpeleka peleka kama gari bovu