binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
This is inappropriate! Kama mtu kwake kunafukuta hahitaji kuhamasisha na kwa wenzio kuungue!Shemela Evelyn Salt, Bantu Lady, Mideko, lovely love, Kapeace, binti kiziwi, Dejane, Kalpana, Lanlady, Lovelovie, Numbisa, Mamndenyi etc embu elezeni kama huyu mama yupo sawa au la..!!
Young girls hawatakiwi kuambiwa haya, wanatakiwa wafundishwe kuwa na uhuru wa kipato, na pia wajifunze kuwa wake wema kwa waume zao, is that too much to ask?
Lazima tuelewe kuwa kwa kufuata utamaduni ambao si wakwetu, tunajikomoa wenyewe, tunakomoa our own future!
Binafsi nawaza sana, yawezekana kabisa wazazi waliolea watoto wao vyema wanapata shida sana kuwaoza watoto wao kwa vijana ambao hawajui upbringing yao, imagine uoe binti wa huyo mama ambaye kwa bahati ambaya asiwe an independent thinker!