Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sasa mke wa Nehemia Mchechu ana kitu gani cha kumzidi mumewe? 🤣 Mtu kashakuwa mkurugenzi wa Majengo yote makali mjini🤣 ni pesa kiasi gani anayo sasa.Yule mwanamke mpumbavu ni mke wa Nehemiah Mchechu, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la nyumba (NHC) sasa Msajili wa Hazina
Sijui Mchechu anaishije na mwanamke asiye na heshima kwa mume kama yule. Kwa kauli ile kamdhalilisha sana mumewe
Humo sana sana jamaa watakuwa wanaishi tu kama wanandoa ila mapenzi hamna. Hio dharau sio ya nchi hii. No man can deal with such EGO.