Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Wanacomplicate tu. Na watapata taabu sana. Mke ni patner na rafiki sio mtumwa kama wengi wanavyodhani.kwakweli, ukute mwenyewe kajituliza huko hana hata wazo hilo
Watu wana jinsi yao kuishi sio lazima tufanane. Na unaweza kukuta wanaishi vizuri bila tatizo.
Pia watu waelewe kwamba dunia inabadilika sana wategemee mabadiliko mengi. Tuachane na ndoa za watu tudeal na za kwetu maana zina matatizo ya kutosha.
Mke wa mwaka 1980 ni tofauti na mke wa 2022. Na tukifika 2050 sijui itakuaje.
Kataa ndoa itawafaa wengi wakaunge mkojo juhudi za kina Liverpool VPN . Ila ukweli ni kwamba mambo yamebadilika.