Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Kama mm ndo ningekua mumewe akirudi nyumbani atakuta vitu vyake vyote nje na ntatundika panga juu ya mlango akija aone tusije laumiana bdae..
Wala nisingemsemesha kwa wiki nzima akiwa anashuhudia kila asubuhi na jioni nanoa panga langu vizuuuri afu naliweka mezani sebuleni.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
SASA WEWEE.!! FINANCIAL FREEDOM NDO IKUTIE KIBURI KWA MUMEO..!!?? Unachanganya kati ya upendo wa mke kwa mume na uwezo wa kifedha wa mke..!! Hivi una maanisha kuwa wanaotakiwa kuaga ni wale wasio na hela pekee!!???
Nikuambie, kukaa kimya kwa mwanaume hakumaanishi amekubaliana na kutoa kwako taarifa. Wanaume huwa hatusemisemi..!! Ila ilpo siku isiyo na jina utakuja kukiona cha mtema kuni. Usikute hasemi kitu kumbe ana kamchepuko kake kanampa heshima zote kama mume.

NB: wengine mnakuwa na financial freedom iliyotengenezwa na mume, ETI BADO USIMUAGE..!! Utakuja kuchinjwa..!!
Wanaume wepi hamsemi semi? Nyie nyie au mnawaongelea wa sayari nyingine? Na inawezekana pia hana mchepuko na wanaheshimiana na mkewe vizuri tu na wala hana shida na kupewa taarifa. Taabu ni kwenu wapenda kuagwa sasa🤣🤣 sijui mmekuwa maiti🙆🙆🙆

Issue ni ametoa taarifa, hajaondoka bila kutoa taarifa and thats what matters. Mtu mzima anatoa taarifa, watoto ndio wanaoaga.
 
Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable.

Imagine mke wako anajitapa hivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli hapo.

Ngumu kwako kwa mwingine ndiyo raha pengine.

Watu wako complex.
 
Back
Top Bottom