Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Hapa hamna mwanamke....hawa ndiyo wale wanasema man are devil trach we dont eed man, kwangu hata kama mke wangu yupo stable au hayupo issue kama ya kuhudhuria shuguli ni part of life...yani ni awareness aseme anenda hata kama simpu nauli au amenunua nguo za shuguli its just life we have things to do and participate ....so mentality inatakiwa tu kuwa nimeaga basi na mwanaume mwenye akili na uafamau na anayempenda mkewe ni issu hata haina kelele tena ntauliza unahitaji suport yeyote au nikusindikize au ndo anaeda ana drive mwenyewe swa...ila hii kusema eti sababu ana financial so anatoa taaria au haitaji ruhusa ni kuleta ushindani usi na akili,,,wanawake wa hivi ndio wale wale nawaita TOXIC FEMINIST
 
Mkuu,
Mbona naona kama umemtafsiri vibaya.
Ameongea TU in good faith kwamba financial freedom imempunguzia mlolongo wa kuomba ruhusa, japo ameomba.
 
Nimeona kuna janaume limekenua meno kusapoti huo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…