Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

When a women become successful, they stop being women and start acting like men…..and men don’t wanna date themselves
wanamke watakapofanikiwa, wanaacha kuwa wanawake na wanaanza kujifanya kuwa wanaume na wanaume wa kweli hawataki kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume wenzao.
 
Sasa hapo huyo ndio kaonekana wa maana wa kuwafundisha wenzie kwenye huo mkutano mpaka mc akampa mic. Yani sijui kasahau au hakumsikiliza raisi samia aliesema yeye pamoja na uraisi wake ila mbele ya mume wake anapiga goti.

Nafikiri kutokana na wanawake wengi kuishi single wakishafanikiwa kifedha sasa wanawadanganya wenzao walio kwenye ndoa ili nao wawaletee kiburi waume zao watimuliwe ili nao wabaki pia single.
 
Alafu huyu jamaa 👉 Maxence Melo alikuwa anachekacheka hovyo kabisa
 
Angekua na busara hayo sio mambo ya kusema mbele za watu tena wengine wamemzidi umri.

Wanawake wa jf Mamndenyi Kelsea BEES cocastic lovel hebu semeni imekaaje hii mnaafiki na kama hamuafiki nini kifanyike
Huyo maza ni mpuuzi, mwanamke kuwa na hela haimpi sababu ya kutomuheshimu mumewe. Kuna wanawake wana hela lkn bado wanaheshimu waume zao sijajua kakwama wapi hadi kuongea alichokiongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ipo ndio.
Isingekuwepo angesema haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…