Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kumbe wanaume nanyie hutongozwa ???
Anae tongoza huwa anashuka mistar ya aina gan????
 
Nakumbuka kuna demu mmoja nilimtuma kipikipiki posta wangu akasema ana mtu wake nikaona isiwe tabu Mara paaap siku 3 mbele nikakutana nae road nikaomba namba akanipa kilichofuata hakusema tena ana mtu wake zaid baby uko wapiiiii Mara umefua nguo maraaaaa ohhh Leo nataka kuja kulala kwako. Shenz kabisa
 
Pole, ila kama unafaham kwann ucwasaidie tu au uwafundshe wasipate shda ya kuktongoza
 
Ni kwe usemayo lakini kibaya zaidi mnajimilikisha kabla hamjakubaliwa.
 
Ni kwe usemayo lakini kibaya zaidi mnajimilikisha kabla hamjakubaliwa.
Huyo anaejimilikisha alikosea, maana lazma uangalie consent ya mlengwa kama ameafiki na ukafanikiwa kumla ndio utakuwa na haki ya kumuita mpenzi. Inapendeza baada ya kulana ndio ujimilikishe
 
95 % of human comunication ni non verbal, na mwanamke kabla hata hujamtongoza huwa tayari ashajua unataka kusema nini sema huwa anataka tu kuconfirm sasa mlitaka watu waombe kama wanaomba kazi za secretariat ya ajira ahahahaha 🤣🤣🤣🤣 ila nimecheka kweli ani manake hivyo hivyo vituko tunafanyaga ndio hivyo hivyo wanavyovipendaga wanawake
 
Unajua kinachokera sasa hivi wanaume wengi walishajiwekea wanawake wote ni rahisi kumbe sio hivyo.
Huyo anaejimilikisha alikosea, maana lazma uangalie consent ya mlengwa kama ameafiki na ukafanikiwa kumla ndio utakuwa na haki ya kumuita mpenzi. Inapendeza baada ya kulana ndio ujimilikishe
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua kinachokera sasa hivi wanaume wengi walishajiwekea wanawake wote ni rahisi kumbe sio hivyo.
Sasa pesa si ndio mnayoabudu kwa sana, mnatupa mixed signals tatizo kuna ambao wanataka mitongozo old school ila wanaopenda magari na hela ni wengi zaidi!
 
Kuna mdada juzi nae eti anasema mahusiano yetu, eniwei labda uelewa wa maana ya neno uhusioano ni haba.
 
Yeah hii ni kweli, na ndio maana ana courage ya kukukwepa kama hakupendi maana anajua tu utamtongoza. Anaekupenda atakupa airtime akuskilize una kiwango cha kuongea kiasi gani.
 
Sasa pesa si ndio mnayoabudu kwa sana, mnatupa mixed signals tatizo kuna ambao wanataka mitongozo old school ila wanaopenda magari na hela ni wengi zaidi!
Pesa ndo kila kitu na hakuna anae ichukia ndo maana hata wanaume wanakua wanawake sasa hivi hiyo yote ni pesa...
 
Pesa ndo kila kitu na hakuna anae ichukia ndo maana hata wanaume wanakua wanawake sasa hivi hiyo yote ni pesa...
Basi mkitongozwa kama malaya msilalamike, na ndio tunachowafanyia sikuhizi maana huwezi tofautisha malaya na real woman.
 
Yeah hii ni kweli, na ndio maana ana courage ya kukukwepa kama hakupendi maana anajua tu utamtongoza. Anaekupenda atakupa airtime akuskilize una kiwango cha kuongea kiasi gani.

Before we say it they arleady know sasa kama hakukubali hawez kuintertain bulshyt anakukwepa mapema, sasa mtu anakuja kulala gheto umwangalie tu kweli hiyo ni sawa kwanza akija gheto na akalala huyo kashakubali ahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…