Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Ukiongelea pesa hakuna anae ichukia hiyo pesa, haitoshi,na wala haijai
Shida sio kuichukia ila ukichukulia kama SI unit ya kumkubalia mtu au kumkatalia hapo ndio shida inapoanzia.
 
Shida sio kuichukia ila ukichukulia kama SI unit ya kumkubalia mtu au kumkatalia hapo ndio shida inapoanzia.
Kwahiyo nikimkataa mwanaume unadhani napenda pesa au nikimkubali basi nimependa pesa?
 
Kumbe wanaume nanyie hutongozwa ???
Anae tongoza huwa anashuka mistar ya aina gan????

Anauma uma meno yaani anazungumza bila mpango huku akiwa na hisia Kali na ute unatoka yaani chupi inalowana
 
Kwahiyo nikimkataa mwanaume unadhani napenda pesa au nikimkubali basi nimependa pesa?
Rate yako ya kuwakataa mwanaume wenye ngonjera nyingi ni kubwa kuliko rate ya kuwakubalia wenye chambi chambi! Hilo sidhani kama una la kubisha?
 
Kutongoza ni sanaa, hivyo haiwezi kuwa na universal formula.
Cha msingi ni kwamba unapotongozwa na mwanaume unaempenda hata atumie njia gani huoni kama ni kero.

Natamani nikutongoze
 
Haya ni mawazo yako.
Nikulize tu swali dogo!
Mfano kwa status yako sahivi, akaja kijana ana gari smart look anakutongoza kwa pesa na akaja mkaanga chips kama ZeroIQ kwa miguu kumwaga mistari yake iliyojaa vina yupi ambaye ana chance kubwa ya kukubaliwa na wewe. Just be honest!?
 
Itategemea na muonekano wa hao watu pale nafsi yangu itakapo ridhia kutakua hakuna upinzani.
Nikulize tu swali dogo!
Mfano kwa status yako sahivi, akaja mtu na gari smart anakutongoza kwa pesa na akaja mkaanga chips kama ZeroIQ kwa miguu kumwaga mistari yake yupi ambaye ana chance kubwa ya kukubaliwa na wewe. Just be honest!?
 
Ukitongoza wakubwa raha sana,hawana mambo mengi.....mtajadili hiki na kile lakini yeye atakuambia anachotaka ni maisha,kumjali katika mahitaji yake;baada ya hapo ni kutafunana tu.
 
Kumbe wanaume nanyie hutongozwa ???
Anae tongoza huwa anashuka mistar ya aina gan????
Kuna mmoja alikuaga kanizidi kidogo umri kipindi iyo chuo, na mi ndo nilikua CR,

Basi bhana mi nikawa nimesha msoma matendo yake ila nikawa naogopa kujiongeza.

End of semester akaamuaga kunipigia na kunielezea hisia zake damn moyo ulipiga paah afu nikashindwa nimjibu nn[emoji3]
 
Itategemea na muonekano wa hao watu pale nafsi yangu itakapo ridhia kutakua hakuna upinzani.
Ongelea ukweli tu just be real with yourself, chukulia mwenye gari ni mtu kama January Makamba na ZeroIQ ni mtu kama MB Dogg utamchagua nani!
 
Back
Top Bottom