Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kuna mmoja alikuaga kanizidi kidogo umri kipindi iyo chuo, na mi ndo nilikua CR,

Basi bhana mi nikawa nimesha msoma matendo yake ila nikawa naogopa kujiongeza.

End of semester akaamuaga kunipigia na kunielezea hisia zake damn moyo ulipiga paah afu nikashindwa nimjibu nn[emoji3]
Ulifanikiwa kumla sasa mwanzo wa semester mpya?
 
Nakumbuka kuna demu mmoja nilimtuma kipikipiki posta wangu akasema ana mtu wake nikaona isiwe tabu Mara paaap siku 3 mbele nikakutana nae road nikaomba namba akanipa kilichofuata hakusema tena ana mtu wake zaid baby uko wapiiiii Mara umefua nguo maraaaaa ohhh Leo nataka kuja kulala kwako. Shenz kabisa

Na mzigo ukala siyo!
 
Hiv anaetuma miamala kama sound zake mnazungumziaje?.
 
Ulifanikiwa kumla sasa mwanzo wa semester mpya?
Of course Tena ye alikua mwajiliwa kabisa na darasa letu lilikua ni la usiku Yani evening mnaingia kwenye pindi saa kumi kutoka saa mbili usiku.

So nilienjoy kwa kifupi mpaka ka baby worker chake akawa ananikabiz key[emoji3] sa ivi sijui kaolewaga na nani
 
Wavulana kwa kubembeleza hatujambo cjui Tuna comment wapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Of course Tena ye alikua majiliwa kabisa na darasa letu lilikua ni la usiku Yani evening mnaingia kwenye pindi saa kumi kutoka saa mbili usiku.
So nilienjoy kwa kifupi mpaka ka baby worker chake akawa ananikabiz key[emoji3] sa ivi sijui kaolewaga na nani

Duh noma sana
 
HATUHITAJI KUWATONGOZA, MAVAZI YENU NA NJAA ZENU ZINAONYESHA KABISA MLIVYO MALAYA.
MNASHINDIA KUVAA VISURUARI VYA KUBANA, MARA SIJUI VISKIN TIGHT, MARA MNATUACHIA MATITI NJE, KUJICHEKESHA NA KUOMBA VOCHA PAMOJA NA OUTING HAZIISHI.
MALIPO YENU NI KUWAGEGEDA, KUWAPA MIMBA AU UKIMWI, MTULELE HAO WATOTO HUKU MKIITWA NA KUJIITA SINGLE MOTHERS, WAKIKUA TUTAKUJA KUWACHUKUA WATOTO WETU!.
Mkuu umeandika ule mwandiko wa kile chama Cha siasa
 
Of course Tena ye alikua mwajiliwa kabisa na darasa letu lilikua ni la usiku Yani evening mnaingia kwenye pindi saa kumi kutoka saa mbili usiku.

So nilienjoy kwa kifupi mpaka ka baby worker chake akawa ananikabiz key[emoji3] sa ivi sijui kaolewaga na nani
Hahaha aisee sio mchezo, ilikuwa masters nini? Hio tamu kweli kweli.
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Ulipoamua kwenda kumsalimia kwake ni kwamba alikutongoza kwa namna moja au nyingine hadi ukakubali kwenda na kufikia hatua hadi ya ku- share tandiko
 
Ukirejea maana ya kutongoza katika kamusi yetu haitakupa tabu tena

Tatizo mmekariri kutongoza mpaka tuanze kujieleza maneno meeeengi mpaka tukubaliwe
 
Kwani kutongoza unatumia muda mrefu,unajua unapojiexpress hisia zako kwangu,kuna vitu vinaniteka akili lakini kutumia mbinu hizo hahahahaha nacheka kwanza
Kuna watu hawana uwezo wa kuongea wana pesa
Wengine hawana pesa wanajua kuongea
Wengine wanajua kuongea lakini hawawezi kushawishi

Hapo ndipo njia mbadala zinapokuja
 
Back
Top Bottom