Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

HATUHITAJI KUWATONGOZA, MAVAZI YENU NA NJAA ZENU ZINAONYESHA KABISA MLIVYO MALAYA.
MNASHINDIA KUVAA VISURUARI VYA KUBANA, MARA SIJUI VISKIN TIGHT, MARA MNATUACHIA MATITI NJE, KUJICHEKESHA NA KUOMBA VOCHA PAMOJA NA OUTING HAZIISHI.
MALIPO YENU NI KUWAGEGEDA, KUWAPA MIMBA AU UKIMWI, MTULELE HAO WATOTO HUKU MKIITWA NA KUJIITA SINGLE MOTHERS, WAKIKUA TUTAKUJA KUWACHUKUA WATOTO WETU!.
[emoji23]
 
Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli

Angalia hapa

1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D

2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo

3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?

4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema

5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani

Ongezea zingine.......
Hawa wote ni upumbavu na ushamba unawasumbua. Wanakera sana!
 
Bhana sio kila dem anastahili kutongozwa wengine tunaingizia tyu voko flan af tunageged mkitongozwa had kuj kukubali mnafanya mambo kuwa meng
Tunaingiza tu voko fulani[emoji23]
 
Sisi wengine huwa tunavizia akienda kisimani, kisha tunakata ngwala, alafu tuna gegeda tu.
Na hapo hauwezi kuta Ke anapiga kelele kwamba anabakwa, basi ujue ndio kisha kubali hivyo....tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umerudisha ile avatar?
 
Ulipoamua kwenda kumsalimia kwake ni kwamba alikutongoza jwa namna moja au nyingine hadi ukakubali kwenda na kufikia hatua hadi ya ku- share tandiko
Ngoja nimsaidie kujibu ili, Kama nitakua wrong atanilekebisha Demiss

Ulienda mkawa mnapiga monde kwa baharia ukajikuta muda umeenda so ukaamua kuangusha Hapo hapo, kifupi mlizima

Asubuh kuamka ikabidi muamshe POPO!??
 
Ukiniita kirahisi hivyo njoo lodge fulani. Nakubebisha utangulie lodge nakuja muda ukifika nablokia mbali huko ujiongeze.
 
Hahah ingekuwa mimi, kama angekuwa umri unaomatch au nimemzidi kidogo na anatambulishika nisingemuacha huyo manzi. Angeendelea kulinda himaya yangu tu.
Sema at that momento mi tayar nilikua naishi na mtu wangu coz ye ndo aliye nielewa since dai one nikamuelewesha tu a,b,c
 
Acha hizo. Vibaya ujue lakini Madame
Ndio zangu hata ikitoke Ex akaniomba upya nakubali nambebisha wee. Nahakikisha amesafiri kutoka mkoa mmoja hadi mwingine akiniamboa ameshuka stand nablokia mbali huko ajiongeze. Dharau sitaki
 
mwenye ile video Msoga anaongea Bungeni kuhusu KULA & KULIWA .... Tafadhali aipandishe hapa!
 
Back
Top Bottom