Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kuna umri ukifika hakuna tena kutongozana ni full appointment tu mengine yanafuata. Dunia inakwenda kasi sana tuna mengi ya kufanya.
Na umri huo ke ndio wanaotongoza kuliko me, na ukimkubalia anakuganda balaa!
 
Kuna mdada alikujaga saloon ya kiume,

Alimleta mtoto kunyoa, so wakati yule mtoto ananyoa mi nikawa naongea na uyo mdada

Hata sikumbuki nilimwambia nn muda huo nikamshika mkono nikaenda kujipigia na at sent sikumpa[emoji3]
Atakuwa ana pepo huyo!
 
Kutongozana ni kupotezeana muda, Sasa nikutongeze mwezi mzima nafatilia majibu yanini kuchoshana wakati buku 5000 tu nikienda uwanja wa fisi nishapona
 
Kuna mwingine anakusifia mara kiuno chembamba,mara macho mazuri,mara unatembea vizuri...yani ndio kamaliza hapo eti

Wanaume aseeee!
Hongera kwa kiuno chembamba na macho ya kuita
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
ulifurahi
 
Uongo wa kizamani huu eti mzungu kumtongoza una mwambia i love you kashakuelewa . Jaribu uone.
aaah sijasema eti unamwambia i love you anakubali. tena ukimtamkia hilo neno ni ugomvi.

Nilicho maanisha mzungu ukimuomba umtoe out wakati si marafiki, moja kwa moja anajua lengo lako ni nini. kama hataki hatakubali kama anataka atakubali kutoka na wewe.
 
Bongo bhn, SA na Botswana hakuna mambo ya mtongozo mtongozo, ukimnunulia savannah na chupa ya amarula ushaliza kazi
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Kweli nimeamini msema kweli ni mpenzi wa MUNGU.
 
Hapa nimeona ni jinsi gani wanawake mnapenda kudanganywa...
Binafsi siwezi tongoza mwanamke ambaye nimemtamani ntamtengenezea mazingira ili ajue nina hamu nae akitiki poa asipotiki poa,ila siwez kumdanganya kwa maneno ya uongo au kumtongoza
 
Ku fake mi ndo siwezagi mkuu, afu pili ni ngumu Sana ujue kumjibu mtoto wa kike
Ugumu gani??? Mbona sisi huwa tuna wapa majibu ya hapo kwa hapo
Ungemjibu tu mfano Dada umekomaa mno sikuwezi basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mh!
Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli

Angalia hapa

1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D

2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo

3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?

4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema

5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani

Ongezea zingine.......
 
Watoto mmezoea kutongozwa sikuizi watu wazima tunaongea lugha ya kiutu uzima hakuna longolongo...

Ukikua utaacha.
 
Sisi wengine huwa tunavizia akienda kisimani, kisha tunakata ngwala, alafu tuna gegeda tu.
Na hapo hauwezi kuta Ke anapiga kelele kwamba anabakwa, basi ujue ndio kisha kubali hivyo....tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha we mzee wewe
 
Back
Top Bottom