Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.



Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.

Nyongeza:

Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.

Demiss(cha mdeko)
 
Wengi wa hivyo wanakuwaga wametatuliwa linda, nahis hata hapo amekaa akisubil atatuliwe linda

Sio kila king'aacho ni dhahabu

Afu acha kuita wanaume wana sura mbaya wewe siyo Muumba

LONDON BOY
 
Cha mdeko....
Naona umekula ganja ndiyo ukaposti.... [emoji23] [emoji13] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…