Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

85% huwa ni mchicha mwiba... wanaboostiwa kabla ya kuboost...
ZERO LINDA

cc davito na wengineo
Acha wivu kuna wanaume mashaaalah
cd64e3743155581a9f1a4494c24744e5.jpg
 
mna shida nyingi sana nyie ndio maana ndoa nyingi hazidumu sasa ukimpendea mtu sura au mashine akipata ajali au ugonjwa na sura yake au mashine ikaanza kufanya kazi kwa shida utamchukia.Mbona wanaume huwa wengine wanaoa wasichana wembamba baadaye mnakuwa mijimama mpaka mashine inatafutwa kwa tochi lakini wanaume wanavumilia tu kubaki na hhuyo tembo wakati ulioa swala au dada mweusi baadaye anakuwa na sura nyeupe na miguu black
dada zegembe.jpg
dada zetu.jpg
 
Mkuu nilimaanisha mwisho wa andiko lake[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huyo itakuwa kanisaidia kupiga hii[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji26]
Kaamua kuzooom[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cha mdeko....
Naona umekula ganja ndiyo ukaposti.... [emoji23] [emoji13] [emoji119]
Tena ya asubuhi ingekuwa mirungi ningesema nimepata handasiiiiiiiiiiii

[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]siachi
 
Wanaume wa hivyo wanaringaga kuliko wanawake,alafu wachoyo balaa
Sema wengi wanakuaga wasafi Sana icho tu ndo nnachowapendea
Mm nawapenda hivyo hivyo baadhi ndo hawajitambui
 
Hakuna kitu kinanikela kama mwanamke kumsifia mwanaume mwenzangu kama hivi .....mahandsome tupo tena zaid ya huyo
Kama na wew handsome ringa tu kupendwa kuna tatizo
 
Hunaga mada nyingine tofauti na ngono...
Unataka niwaze mambo ya Forex wakat hesabu nilipata F walllah pambana na mahesabu yako huko huko ukiona mtu ayesolve mahesabu kapita kwenye mambo ya mapenzi jiulize sana

Una matatizo kwenye ndoa yako pambana na Forex yako hukohuko

Mpaka umepita hapa unanikubali kama hesabu za Account mxeeeew
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji16][emoji16][emoji16]
Bangi siachi na leo nimevuta cha Arusha
 
Back
Top Bottom