Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali ukihitaj picha zaid 0656339154,na kuhusu tako lako tiba ninayoMtoe huyo mwanao hapo kwenye avatar maana ningekupa povu mwenyewe ungekimbia chooon kuhara
Muone sura mbaya kama tako langu lililokataaa cream mxeeeew
HahaUnileteee utanikuta chadulu uswahilin au aiport ndo chimbo letuuuuu
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]ingekuwa mirungi ningesema nimepata handasiiiiii ya Machali ya chugaaaa
Mmh usinilinganishe na watu wa hivi, nipo zaidi ya unavyofikiria na ukiniona utataka kunilaSafi kabisa ngja nikuweke hapa![]()
Wewe ni msweeety
Hahahaaaaaa. Mie pia hao wanaume warembo hawajawahi nivutia raha ya mwanaume awe na sura ya kiume bana. Teh.Demiss ujue Mungu anakuona Ww[emoji23][emoji23][emoji23] yani Niko church nikasema hebu nichungilie jf kidogo dooh....hahahaha haya bhana ila wengine tunapenda kama akina wasira na remmy ongala
We uko sahii ila haya anayotaka mwenzio, ndio maana dar kule vidume vingi vinajipodoa na kuvaa vinguo vya kubana,mwisho vinapigwa mjengoHahahaa. Duuh.
Mie naona mwanaume akiwa anajua ule uwanaume wake na kusimama kama mwanaume tu ndio uzuri huo hayo mengine ndio mwanzo wa kuanza kugombania kioo. Akaaaa.
Mwanaume awe wa kawaida tu inatosha.
sasa jee,siku akinuna kweli nyumbani mnajua baba kanuna leo hacheki na mtu sio hujui akiwa na hasira au amefurahi muda wote yuko yoriyori....hahahahha mwanaume machine buana[emoji13]Hahahaaaaaa. Mie pia hao wanaume warembo hawajawahi nivutia raha ya mwanaume awe na sura ya kiume bana. Teh.
Hahahaa. Na kweli aisee. Hizo sura nzuri watuachie sie Ke.sasa jee,siku akinuna kweli nyumbani mnajua baba kanuna leo hacheki na mtu sio hujui akiwa na hasira au amefurahi muda wote yuko yoriyori....hahahahha mwanaume machine buana[emoji13]
Hahaaa. Ila nadhani tunatofautiana mawazo yetu huenda mdogo wangu Demiss hao ndio wanaomkosha yaani akiwaona tu hajiwezi.We uko sahii ila haya anayotaka mwenzio, ndio maana dar kule vidume vingi vinajipodoa na kuvaa vinguo vya kubana,mwisho vinapigwa mjengo
Hahahaaa. Na hao wa hivyo sidhani hata kama ile shughuli yetu wanaiweza kisawa sawa. Teh. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hii inaashilia nini?
Biashara......kujitangaza?
Kutafuta mchumba......je sura pekee inatosha kutafsiri uzuri? Umbile!
Kujiuza......unaposifia nakujisifia kupendapenda!
Tamaa hizi ndizo zinawaponza Dada zangu kutumika nakila shape, size na mwishowe mnabakia wasimbe na mnakuja shituka mmezeeka kila mmoja anakukimbia....maana umefubaazwa na kuzeeshwa kwa mitwango na mitwalingo ya wagegedaji matapeli
Hizi ni sura za wanaume tapeli wa mapenzi kama ilivyo kwa asilimia kubwa ya wanawake wenye uzuri bandia was dukani.