Aiseeeeeeh !
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (Wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam.
Yan mwanaume amebarikiwa jaman
Ngozi nyeus ya kuvutia kama chocolate
Macho ya kimahaba
Kifua mashalaaaah
[emoji216]wa wastan na kuteleza
Tabasamu lake sasa uwiiiiii
Akiwa kitandan ndo hata usiulize
Anapendeza pamba balaaa
Jaman na hii barid kwa kweli unaweza hata usihisi njaaa ukiwa na mwanaume kama huyuuu maana yeye ni shibe tosha.
Wanaume wazur wanafanana na chakula kizur ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.
Nyongeza:
Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesaa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
Demiss(cha mdeko)