Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Hii inaashilia nini?

Biashara......kujitangaza?

Kutafuta mchumba......je sura pekee inatosha kutafsiri uzuri? Umbile!

Kujiuza......unaposifia nakujisifia kupendapenda!

Tamaa hizi ndizo zinawaponza Dada zangu kutumika nakila shape, size na mwishowe mnabakia wasimbe na mnakuja shituka mmezeeka kila mmoja anakukimbia....maana umefubaazwa na kuzeeshwa kwa mitwango na mitwalingo ya wagegedaji matapeli

Hizi ni sura za wanaume tapeli wa mapenzi kama ilivyo kwa asilimia kubwa ya wanawake wenye uzuri bandia was dukani.
Sawa pamoja sana mkuuu nimekusoma
 
Hahahaa. Duuh.

Mie naona mwanaume akiwa anajua ule uwanaume wake na kusimama kama mwanaume tu ndio uzuri huo hayo mengine ndio mwanzo wa kuanza kugombania kioo. Akaaaa.

Mwanaume awe wa kawaida tu inatosha.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]nakusalimu dada
 
Mm sibishanagi na watu wa mahesabu atajua wapi kubembeleza mpnz watu kama hawa kutwa kwenda kwa wanasaikolojia kutafuta solution anipishe hapa

Usimuone hivyo huwa anapita kimya kimya kusoma mada zangu leo atakuwa kavutaaa hiii[emoji377][emoji377][emoji377]kaamua kucoment

Akwendeee na Forex lake
Hahahaha...[emoji23] [emoji23] ukumbuke leo jumapili ee
 
Ymadhihirisha jinsi gani ulivyo malay. A we mwanamama,nakuona jinsi ki. S ssimi kilivyo kusimma hapo,mpaka jicho linakupwita
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]nakusalimu dada
Mie sijambo mdogo wangu Kipenzi ila leo dada yako kawa tofauti kabisa na wewe mdogo wake. [emoji8]

Yeye anapenda wale wanaokaa mwezi hata kioo hawakijui kinafananaje. Teh. [emoji85] [emoji85]
 
Demiss ujue Mungu anakuona Ww[emoji23][emoji23][emoji23] yani Niko church nikasema hebu nichungilie jf kidogo dooh....hahahaha haya bhana ila wengine tunapenda kama akina wasira na remmy ongala
Nimewavumilia nimeshindwa wallah

Sasa ukute mbaya alafu hana helaa jaman unaweza kukimbia mbio za Marathon za tigo

Wassira mbaya ila ana helaaaa

Angekuwa hana weeeee ingekua kituko cha enzi za kaleee
 
Nyama choma mixer kijiti,pori kwa pori
cc7be81915f744f1da569b54c81a8f65.jpg
Aiseeee hiyo kitu unanitoa udenda wewe [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]

Mpaka nimelia machozi nilivyoona hiyo picha
 
Aisee.

Acha nirudi nikaweke mkeka si kusoma huu uzi
Hahahahahaa nikaribishe tu tuje kupiga story

Mwanaume anayependa kukaa kweny mkeka huyo ni kiben ten(jokes)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahaa. Na kweli aisee. Hizo sura nzuri watuachie sie Ke.

Sababu mwisho wa siku mkikaa hakuna tofauti kati ya Baba na Mama sababu wote nyuso zina poda kama nyusi wote mmetinda. Khaaaa. Ndio nini sasa.
[emoji16][emoji16][emoji16]aisee dada umejua kunichekesha hakuna mama wala baba wote wasweeety
 
Back
Top Bottom