Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

wewe mwenyew una chura? K kavu au kama bawa la mtera ? tait au kma lambo
Wewe unaonajee sio kwa povu hili

Naona comment yako inanuka ushuziii
 
Hahahaa. Na kweli aisee. Hizo sura nzuri watuachie sie Ke.

Sababu mwisho wa siku mkikaa hakuna tofauti kati ya Baba na Mama sababu wote nyuso zina poda kama nyusi wote mmetinda. Khaaaa. Ndio nini sasa.
Hahahaaaa watoto wanajikuta wanavurugwa hawajui nani Dady nani Mommy.... Hehehee
 
Kweli wanawake wengine vipofu..!!
Sasa huyu kati ya wanaume wazuri naye yupo..???

Hivi unatoka kijiji gani wewe Demiss..??? Ngoja nimshirikishe Mange ndio atakupa majibu mubashara.
Mkuu mbn umeumia sana ndugu yangu kuna tatizo jaman mm nimetoka kijiji cha Nyakahanga karagweee huko
 
Wewe mbona ni mwanamke ila una sura mbaya ila tunavumilia tu? Wanaume tunaona mengi mbona
Kama nyie mnavyosifiaga vizur

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 
[emoji16][emoji16][emoji16]uje na paja la mbuziiii
Mambo ni km hv
384352746046f36ab82e5a2a925e9709.jpg
 
Back
Top Bottom