Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Unataka niwaze mambo ya Forex wakat hesabu nilipata F walllah pambana na mahesabu yako huko huko ukiona mtu ayesolve mahesabu kapita kwenye mambo ya mapenzi jiulize sana

Una matatizo kwenye ndoa yako pambana na Forex yako hukohuko

Mpaka umepita hapa unanikubali kama hesabu za Account mxeeeew
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji16][emoji16][emoji16]
Bangi siachi na leo nimevuta cha Arusha
I see... Kweli ww Demiss
 
Acha kabisaaa
Kwenye sifa alizoweka Demiss kwangu inaongezeka dimpoz..
Yaaan dimpoz ugonjwa wangu kabisa
Akitabasamu na dimpoz oooh nazimia kabisaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Tupo wengi
Kama wanaume wanavyogeuka wakipisha na mdada mwenye chura namm nikipisha na mkaka mwenye dimpoz naeza gongwa hata na gari
Hunifikiii mm yan namwangalia mpaka basiii mapigo ya moyo yanaongezekaaaa
 
Aiseeeeeeh !

Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (Wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam.

Yan mwanaume amebarikiwa jaman
Ngozi nyeus ya kuvutia kama chocolate
Macho ya kimahaba
Kifua mashalaaaah
[emoji216]wa wastan na kuteleza
Tabasamu lake sasa uwiiiiii
Akiwa kitandan ndo hata usiulize
Anapendeza pamba balaaa

d5aa344880d41810f9db16b87598e517.jpg


Jaman na hii barid kwa kweli unaweza hata usihisi njaaa ukiwa na mwanaume kama huyuuu maana yeye ni shibe tosha.
Wanaume wazur wanafanana na chakula kizur ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.

Nyongeza:

Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesaa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]

Demiss(cha mdeko)
Usibabaikie kwa picha wengi wao dizaini hizo ni bwabwa masenge sana tena
 
Kwa taarifa nilizonazo siku hizi unagawa sana hicho kitumbua,amen amen nakuambia punguza speed la sivyo mume wako atakaekuja kukuoa hatakuta kitu huko chini!!
Kwan kuna mtu ananibebea kitumbua wallah

Asante kwa povuuuuuuu nimelipata nitafulia vyup vilivyotoboka
 
I see... Kweli ww Demiss
Mm sibishanagi na watu wa mahesabu atajua wapi kubembeleza mpnz watu kama hawa kutwa kwenda kwa wanasaikolojia kutafuta solution anipishe hapa

Usimuone hivyo huwa anapita kimya kimya kusoma mada zangu leo atakuwa kavutaaa hiii[emoji377][emoji377][emoji377]kaamua kucoment

Akwendeee na Forex lake
 
Ukiona hivo we hutongozw ndomana Una sema hvo au itakua we kijeba nn Kama kirikuu sio kwa povu hlo
Mtoe huyo mwanao hapo kwenye avatar maana ningekupa povu mwenyewe ungekimbia chooon kuhara

Muone sura mbaya kama tako langu lililokataaa cream mxeeeew
 
Back
Top Bottom