Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Demiss umenichekesha eti sura mbaya kama mchawi karaba wanangu wanaipendajee. Baaa mihanyenyee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo movie wadogo zangu wanaipenda sana utasikia

Dada tuletee kiriokue ya mchawi karaba hii nyingine mama ameficha

Nikasema ngoja siku moja niingalie duh
Nilicheka sana hasa pale yule mmama

Alivyosema "Maji yamerudiiiiiiiii"
 
Na wewe ntakuchukua nikupeleke US hahahahahahaaa.
Ukinichukua nitaringa kwa kweli

Nahisi siku hiyo nitatangaza kabisa Jf

Na hivi una gundu na watu aiseee

Hayo mapovu kuyapokea labda niwe nimetumia hii kitu[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mama mmbea yule mdomo mrefuuu hata mimi huwa nacheka hasa kipande cha huyu mama😀😀
 
Mama mmbea yule mdomo mrefuuu hata mimi huwa nacheka hasa kipande cha huyu mama😀😀
Yan ktk sehem niliyofurahi ni hapo

Na pale mtt kazaliwa akaanza na kutembea kaoga mwenyewe aisee
Tamu sana ndo maana watoto wanaipenda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Tupo wengi
Kama wanaume wanavyogeuka wakipisha na mdada mwenye chura namm nikipisha na mkaka mwenye dimpoz naeza gongwa hata na gari
Ucpshane namimi, ushahidi wa ajari co mzuri
 
Unatukimbizia mizigo bro [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…