Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Atakuta tundu la shimoKwa taarifa nilizonazo siku hizi unagawa sana hicho kitumbua,amen amen nakuambia punguza speed la sivyo mume wako atakaekuja kukuoa hatakuta kitu huko chini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuta tundu la shimoKwa taarifa nilizonazo siku hizi unagawa sana hicho kitumbua,amen amen nakuambia punguza speed la sivyo mume wako atakaekuja kukuoa hatakuta kitu huko chini!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo movie wadogo zangu wanaipenda sana utasikiaDemiss umenichekesha eti sura mbaya kama mchawi karaba wanangu wanaipendajee. Baaa mihanyenyee
Matumizi mabaya ya rasirimali watu.
Daaah kumbe nilifanya makosa kukutumia pic eeeh??Picha yako nimeweka Dp huko whastap watu wanakuchek tu jinsi ulivyomhandsome
Acheni tuu. Ndo maana hatuelewi saa ingine.Aiseeeee ngoja nikafukue story zakee
Yule mkaka shoga makubwaa
Ukinichukua nitaringa kwa kweliNa wewe ntakuchukua nikupeleke US hahahahahahaaa.
Mama mmbea yule mdomo mrefuuu hata mimi huwa nacheka hasa kipande cha huyu mama😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo movie wadogo zangu wanaipenda sana utasikia
Dada tuletee kiriokue ya mchawi karaba hii nyingine mama ameficha
Nikasema ngoja siku moja niingalie duh
Nilicheka sana hasa pale yule mmama
Alivyosema "Maji yamerudiiiiiiiii"
Hakuna makosa mbonaDaaah kumbe nilifanya makosa kukutumia pic eeeh??
Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app
Ucpshane namimi, ushahidi wa ajari co mzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Tupo wengi
Kama wanaume wanavyogeuka wakipisha na mdada mwenye chura namm nikipisha na mkaka mwenye dimpoz naeza gongwa hata na gari
Unatukimbizia mizigo bro [emoji23] [emoji23]Kwenye mihangaiko ya hapa na pale,niliwahi kukutana na mshikaji flani hivi ni mzaliwa wa tanga huyu jamaa alikuwa mzuri kupita kiasi yaani mzuri hasa ukitizama passpot yake unaweza sema mwanamke lips za kike macho ya kike.
Note:sijamsifia wala sitamani wanaume wenzangu ila najaribu kueleza muonekano wake ili nieleweke
Huyu jamaa alitokea kuwa rafk angu sana alikuwa ananikubali kupita kiasi most of the time alikuwa anapenda kunitumia sms "anaandika jina langu then mwishoni anamalizia na i adore you"mala kibao sana alikuwa anapenda kunitumia hiyo sms dah nilikuwa najiuliza ila nachukulia poa coz nimshikaji nasema haina noma.
Tulikuwa kwenye taasisi flani hivi,na maanisha tulikuwa wengi sana lile eneo ikafika kipindi washikaji wa pembeni wakaanza kuhoji urafk wetu,kwa pembeni mala inakuwaje hapa mbona hawa jamaa marafk sana na urafk wao siuelewagi,kiukweli nikuja sikia tetesi flani flani kwa pembeni na sikuzipenda niliona kama wanatuchora na wanamfikiria vibaya mshikaji wangu,
Huyu jamaa alikuwa ananijali vibaya mno,sometimes akienda deti lazima aje na zawadi kwajili yangu,lazima kila ucku aje aniage kwamba nd anaenda lala hivo,lazima kila asubuh aniulize how do you fel this morning,umeotaje,umeakaje,mchana mwingi alikuwa anaenda kuninunulia msosi,ikafika kipindi nikajishtukia ikanibidi nifanye kama namjali na mimi kiasi flani hivi japo niliona anavuka mipaka,
Hazikupita siku nyingi alichokuja kunifungukia dah,sikuamini masikio yangu,na urafiki ukafa ila mpaka leo huyu jamaa ananitafuta mala kibao japo me sina time nae,
Namaliza kwa kusema wanaume wazuri wanashida sana,tena shida kubwa mno hivyo si vyema kuwa karibu nao,wana mabalaa hawa.
Nakubali asilimia 100% sijui ni utu uzima au niniWanaume above 35 wengi wanakuwa watamu kama mbuzi choma umshushie na Amarula
Yaani wengi wao wana jambo la ziadaNakubali asilimia 100% sijui ni utu uzima au nini