Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mwisho wa reli inaendaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mwisho wa reli inaendaaaa
[emoji16][emoji16][emoji16]mbn nyie mnasisfiaga vizur na hatusemiYaani wewe umenikinbusha mbali sana siku mojanimekaa na wifi yenu mahala tunapata Juice Akapita Jamaa Black Wifi yenu kisha akasema Napendaga Wanaume weusi na warefu ikabidi nijiangalie kwenye kioo cha Simu nikagundua hiyo Rangi Sina hata Sikumbuki ile Bili alilipa nani? Ndiyo ilikuwa mwisho wangu na yeye.
Mmmmhhhh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]leo unasikia furaha maana nimekusifia ulivyo msweeety
Sina miwani na huwa sivai kabisaHiyo miwan naomba uvue lenzi haijaisha nguvu
mwambie baba ako kwanza pumba hizoKuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.
![]()
Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.
Nyongeza:
Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
Demiss(cha mdeko)
Mwanaume mwenye Akili timamu huwezi msifia mwanamke mwingine ukiwa na mkeo/Mpenzio[emoji16][emoji16][emoji16]mbn nyie mnasisfiaga vizur na hatusemi
Mmmmhhh, sasa na wewe unaweza kuvua hicho kwenye Avatar yako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hiyo kwenye Avatar
SawaMm naweza mbona ila mods watanipiga ban nikivua
Gamba mwenzako huyoporno zitakuuwa we mwanamke
mumeo ana shidaaaa kaowa ngedeleeeNa wewe kamwambie mama ako hiyo comment mxeeew sura mbaya kama injini ya fusooo
saw a. Wewe ndo huyo kwenye avatar?Sio wote tafadhari mkuu, ucgeneraliz kuna akina Ronaldo wako hvyo na wanafight, tusiende mbali wapo washkaji kibao wanapambana kibabe wanamiduka mikubwa tu kariakoo na still wanajipenda. Sometimes ni kuamua tu, wapo unaowasema lakini ukisema wote sio kweli. Be humble