Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Yaani wewe umenikinbusha mbali sana siku mojanimekaa na wifi yenu mahala tunapata Juice Akapita Jamaa Black Wifi yenu kisha akasema Napendaga Wanaume weusi na warefu ikabidi nijiangalie kwenye kioo cha Simu nikagundua hiyo Rangi Sina hata Sikumbuki ile Bili alilipa nani? Ndiyo ilikuwa mwisho wangu na yeye.
[emoji16][emoji16][emoji16]mbn nyie mnasisfiaga vizur na hatusemi
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]leo unasikia furaha maana nimekusifia ulivyo msweeety
 
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.

d5aa344880d41810f9db16b87598e517.jpg


Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.

Nyongeza:

Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.

Demiss(cha mdeko)
mwambie baba ako kwanza pumba hizo
 
Hiyo kwenye Avatar
Mmmmhhh, sasa na wewe unaweza kuvua hicho kwenye Avatar yako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mmmmhhh, sasa na wewe unaweza kuvua hicho kwenye Avatar yako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mm naweza mbona ila mods watanipiga ban nikivua
 
Sio wote tafadhari mkuu, ucgeneraliz kuna akina Ronaldo wako hvyo na wanafight, tusiende mbali wapo washkaji kibao wanapambana kibabe wanamiduka mikubwa tu kariakoo na still wanajipenda. Sometimes ni kuamua tu, wapo unaowasema lakini ukisema wote sio kweli. Be humble
saw a. Wewe ndo huyo kwenye avatar?
 
Back
Top Bottom