Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

sawa. Wewe ndo huyo kwenye avatar?
 
Hahahaaa. Na hao wa hivyo sidhani hata kama ile shughuli yetu wanaiweza kisawa sawa. Teh. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji38] [emoji38] nakuona nakuona... shughul gani hyo? [emoji85] [emoji85]
 
Huwezi kuoneka mzuri na kila mtu na huwezi kuonekana mbaya kwa watu wote. Kwa taarifa yako! Uzuri wa kitu au mtu hauko kwake bali kwa yule aliye uona uzuri huo.
Mtu anaweza kusifiwana watu kadhaa, na wakaja wengine kadhaa wakasema hafai ni mbaya kabisa.
Mungu aliweka hivo kama uwiano sahihi kwa watu wote ili kila mtu awe na chaguo lake kama dhahabu kwake ila kwa wenzie ni kokoto.
Ila kwa sasa asilmia kubwa ya dadaz Wanasema uzur pesa, uyasemayo ni maneno tu wala hayana mashiko kwenye uhalisia.
 
Kuna wengine wana sura nzuri lakini kitandani ni 0. Analamba lamba tu malipsi
 

Njoo kwangu me pia ni kama chakula upendacho
 
Hahahahhaa!! Acha vizuri vipewe sifa zao bwana.. Sio mwanaume kapauka kama magadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…