Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Sio wote tafadhari mkuu, ucgeneraliz kuna akina Ronaldo wako hvyo na wanafight, tusiende mbali wapo washkaji kibao wanapambana kibabe wanamiduka mikubwa tu kariakoo na still wanajipenda. Sometimes ni kuamua tu, wapo unaowasema lakini ukisema wote sio kweli. Be humble
sawa. Wewe ndo huyo kwenye avatar?
 
Hahahaaa. Na hao wa hivyo sidhani hata kama ile shughuli yetu wanaiweza kisawa sawa. Teh. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji38] [emoji38] nakuona nakuona... shughul gani hyo? [emoji85] [emoji85]
 
Huwezi kuoneka mzuri na kila mtu na huwezi kuonekana mbaya kwa watu wote. Kwa taarifa yako! Uzuri wa kitu au mtu hauko kwake bali kwa yule aliye uona uzuri huo.
Mtu anaweza kusifiwana watu kadhaa, na wakaja wengine kadhaa wakasema hafai ni mbaya kabisa.
Mungu aliweka hivo kama uwiano sahihi kwa watu wote ili kila mtu awe na chaguo lake kama dhahabu kwake ila kwa wenzie ni kokoto.
Ila kwa sasa asilmia kubwa ya dadaz Wanasema uzur pesa, uyasemayo ni maneno tu wala hayana mashiko kwenye uhalisia.
 
Kuna wengine wana sura nzuri lakini kitandani ni 0. Analamba lamba tu malipsi
 
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.

d5aa344880d41810f9db16b87598e517.jpg


Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.

Nyongeza:

Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.

Demiss(cha mdeko)

Njoo kwangu me pia ni kama chakula upendacho
 
Hahahahhaa!! Acha vizuri vipewe sifa zao bwana.. Sio mwanaume kapauka kama magadi.
 
Back
Top Bottom