wabaya watengwe
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 202
- 156
Alafu 90% ya miraba minne ni vba100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda Wanaume Wazuri Ila davito nasikiaga kumtapikaaa....Ila Jamani Kuna Wale tunawaita magentlemen Yaani unakuta Sura sio yakiurembo ila inavutia Body yake sasa Mfano Boris Kodjoe Yule kaka ni fireeeeee85% huwa ni mchicha mwiba... wanaboostiwa kabla ya kuboost...
ZERO LINDA
cc davito na wengineo
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuma Picha Tukuone Na Wewe TukusifieeeeeHakuna kitu kinanikela kama mwanamke kumsifia mwanaume mwenzangu kama hivi .....mahandsome tupo tena zaid ya huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mwanaune anatisha sura alafu hana mkwanja unaweza kuzan umeolewa na nsyukaaaa
Sipendi Wanaume Weupeeeee Khaaaa!! Naeza NikatapikaaaaAcha wivu kuna wanaume mashaaalah![]()
Too general comment!Kwenye mihangaiko ya hapa na pale,niliwahi kukutana na mshikaji flani hivi ni mzaliwa wa tanga huyu jamaa alikuwa mzuri kupita kiasi yaani mzuri hasa ukitizama passpot yake unaweza sema mwanamke lips za kike macho ya kike.
Note:sijamsifia wala sitamani wanaume wenzangu ila najaribu kueleza muonekano wake ili nieleweke
Huyu jamaa alitokea kuwa rafk angu sana alikuwa ananikubali kupita kiasi most of the time alikuwa anapenda kunitumia sms "anaandika jina langu then mwishoni anamalizia na i adore you"mala kibao sana alikuwa anapenda kunitumia hiyo sms dah nilikuwa najiuliza ila nachukulia poa coz nimshikaji nasema haina noma.
Tulikuwa kwenye taasisi flani hivi,na maanisha tulikuwa wengi sana lile eneo ikafika kipindi washikaji wa pembeni wakaanza kuhoji urafk wetu,kwa pembeni mala inakuwaje hapa mbona hawa jamaa marafk sana na urafk wao siuelewagi,kiukweli nikuja sikia tetesi flani flani kwa pembeni na sikuzipenda niliona kama wanatuchora na wanamfikiria vibaya mshikaji wangu,
Huyu jamaa alikuwa ananijali vibaya mno,sometimes akienda deti lazima aje na zawadi kwajili yangu,lazima kila ucku aje aniage kwamba nd anaenda lala hivo,lazima kila asubuh aniulize how do you fel this morning,umeotaje,umeakaje,mchana mwingi alikuwa anaenda kuninunulia msosi,ikafika kipindi nikajishtukia ikanibidi nifanye kama namjali na mimi kiasi flani hivi japo niliona anavuka mipaka,
Hazikupita siku nyingi alichokuja kunifungukia dah,sikuamini masikio yangu,na urafiki ukafa ila mpaka leo huyu jamaa ananitafuta mala kibao japo me sina time nae,
Namaliza kwa kusema wanaume wazuri wanashida sana,tena shida kubwa mno hivyo si vyema kuwa karibu nao,wana mabalaa hawa.
Best naona umeamua kuubadilisha upepo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaaa. Na hao wa hivyo kitanzania Tanzania ni wachache mno tena wengi wao ni wale wanamitindo au wasanii..
Ila hawa wanaume wetu wa kweli walio wengi wako busy kupambana na maisha hivyo muda wa kuanza kupiga picha kwa kulegeza macho na kung'ata midomo hata hawana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbeeeeee,,,, napata pcha sasa, sister kanitambulisha shem utambulisho ukawa mreeeeefu had ckuelewa dhamiraUkienda kumtambulish kwa marafiki
Unamalizia na neno huyu ana helaa balaaa